ukimaanisha nnHuyu wa 4 anatabiri
Karudia id yake ya zamaniHusna kapotea katika mazingira ya kutatanisha kaacha uzi wenye koment 6k atakuwa tu kwa bwana mwingine
Vichoyo utavijua tuu.... havimjui hata munguacha anione tu [emoji23]
Usijali, au nitakufowadia kabisaaakikujibu dada uniite
Ipo siku nitapoozwa kwa mambo motomoto.hakuna namna utapoa tu
Hahaha.....Karudia id yake ya zamani
Toka shemeji akupige biti umekuwa mkali mpaka kwangukama mm ninae bae nafasi hamna tena ananifatilia hapa
Yajayo na yaje kwa mapenzi yake mungu tuukimaanisha nn
Naona umeichoka amanime ujue naanza kuamini maneno ya saint ivuga kuwa I'd ya husna n Daby [emoji125][emoji125]
Alokwambia ni mnafikinilisikia eti shunie na Daby ni wapenzi sijui kweli
HahaaaaWalaaa! Labda kama unanitaka wwe nitakufikiria
Shemeji usipomkanya mdogo wako ushemeji utakwisha...Naona umeichoka amani
Mie simo
Basi sawaMmh...
Shemeji wewe shemeji wewe...haya tu lakini
Ndo nshamwambia hivyoHahhaah mwambie dada ajue
Inawezekana, maana Husna hawezi potea bila hata kuaga jamanime nahisi ile ya husna n yy dada
Sawa bwanamm sijachukia dada
We umeichoka amani sioWewe tu haujasikia na kuona..sakayo!
Ila Dada yako kusikia sana. Natumai ataelewa kilio cha mlipuko wa moyo wangu!
Id ya zamani siijuiHahaha.....
Kumbe ni shoga ako mnafahamiana . Haya mwambie arudi haraka
Mvumilie ana stress bhana, shemeji kamsema. Hapendi mnavyomtaniaShemeji usipomkanya mdogo wako ushemeji utakwisha...