Nasikia paprika alikua baby wa Mondray, ila paprika akampa ban
Teh teh teh nimewaza tu
[emoji23] [emoji23] pumba maharageNi Juma
Nilisikia kwamba eti joanah hajawai kukojoa kikubwaNilisikia kwamba eti JPM ni _____
Nilisikia eti ombi lake bado halijajibiwa bado miyeyusho tunimesikia kwamba eti yule dada wa humu ombi lako kalikubalia.
Ndio ukicheka na Nyani Ngabu utavuna misamiati migumu kutoka kwakeniliskia kwamba eti..ukicheka na nyani utavuna mabua...
Noo Au tuite mashaihidi kapukuSikumpa ban baby wangu jamani!!! Alijipa mwenyewe. Ulisikia vibaya
Nilisikia kwamba eti Antonio de Guzman ni member mzuri wa CHAPUTANilisikia kwamba eti joanah hajawai kukojoa kikubwa
Wew acha kunitekenya sitaki kuchekaNilisikia kwamba eti Antonio de Guzman ni member mzuri wa CHAPUTA
Nilisikia kwamba eti Antonio de Guzman ni member mzuri wa CHAPUTA
[emoji28] [emoji28] usicheke aseeWew acha kunitekenya sitaki kucheka
Habari wana-chit-chat!
Anza sentensi kwa maneno "Nilisikia kwamba eti...."
Mfano;
Nilisikia kwamba eti ukikaa kimya kwa mda mrefu kinywa kinanuka.!