nilistahili malipo haya?

Kabla ya kudhani kakufanyizia check yafuatayo
1. Lifestyle yako imabadilika (kipato chako kimebadilika)
2. Afya yako iko Ok? (Unapata haja kubwa sawasawa, haja ndogo je, usingizi, tumbo linajaa gesi, nk)
3. Ratiba zako zipo kama zamani au kuna mabadiliko, may be kutokana na kubadilisha ajira?
 
 
rate haiwezi kubaki constant na hii inatokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na stress za maisha, pressure za kazi, umri, mvuto wa uliyenae etc...kubaliana na hali halisi tu kwamba kuna wakati kiwango kinaweza kushuka and work on it if possible... usishangae kukuta zamani ulikuwa unapiga goli 10 mpaka unatoa upepo, but now probably unaenda 2 mbili tu...
 
kwanz pole sana,then mapenzi hayaachwi kilaisi kama unavyofikilia na unapohamua kumuacha mtu unatakiwa kutambua na upande wake atakubaliana na ww?na pia uwe na sababu za msingi za yy kuelewa maana watu tunatoka sehemu mbambali na fikla mbalimbali na ujui mwenzio amekupokeaje ujumbe wako,kumbuka utakua umemuumiza sana na kutokana na maumivu anaweza kufanya chochote kwa muda huo,so wachout kwa maamuzi yako,go and plz her na usichoke kumuomba msamaha.
 

Ukweli ni kwamba hakuna mpenzi ambaye nilimshauri tuachane akanielewa! Wanakuwa ving'ang'anizi sijawahi kuona. Hata hivyo walikubali yaishe bila vurugu, tukionana tunasalimiana powa, ila huyu nadhani aliamua kunishtakia kwa sangoma!
 
anapenda ngono balaaaaa kama ninavyopenda mm waungwana! Nilikuwa namsugua kweli kweli. Kabla haya hayajotea hakusita kuniambia kuwa ameruka sana na washkaji but walikuwa wanampotezea mda,, alikuwa hajuwi kuwa kuna kitu inaitwa climax!

We jidanganye tu. FYI hao wengine walikuwa wananganywa kama ulivyodanganywa. Eti alikuwa hajawahi kufika kileleni? Chezeya mwanamke weye?
 
 
We jidanganye tu. FYI hao wengine walikuwa wananganywa kama ulivyodanganywa. Eti alikuwa hajawahi kufika kileleni? Chezeya mwanamke weye?

Nitadanywa kwenye fani nyengine sio kwenye sex, believe wen it comes to sex, am an expert! No joking!
 
 
 
Nitadanywa kwenye fani nyengine sio kwenye sex, believe wen it comes to sex, am an expert! No joking!

Mh kaka...i think unahitaji maombi, Dada Mpendwa Smile, unaweza kuja kumfungua vifungo mpendwa wetu huyu expert wa ngono aliyeokoka!??
 
Last edited by a moderator:
Dogo1...So,its just stories eh?me nlidhani this is the present situation,kumbe yeshapita?...ok,tusimulie sasa uliovercome vipi hiyo hali?
 
 
Dogo1...So,its just stories eh?me nlidhani this is the present situation,kumbe yeshapita?...ok,tusimulie sasa uliovercome vipi hiyo hali?

It is unbelievable bt ndo ukweli ulivyo. Ilibidi nipate msaada wa sangoma baada ya kuhangaika mda mrefu!
 
Huyo mtu wako ni kabila gani?coz kuna makabila yanahako kamchezo
FUnga safari umfwate huko mkoani aliko ukazungumze naye face2 face
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…