Naona kabisa utabiri unaenda kutumia kutokana na mwenendo mbaya kwenye ligii
Singida Black stars ipo nafasi ya 9 ikiwa imecheza mechi 10
Imevuna Alama 14
Imeshinda michezo 4
Imepoteza mechi 4
Sare mechi 2
Imefunga magoli 15 na imeruhusu magoli 13
Umiliki wa mpira ni 50.5%
Hiki Ni kiwango kibovu Cha timu Kama singida Black stars