Nasikitika kwamba siwezi kununua jezi kwa sababu huku mikoani zimejaa jezi ambazo hazina kiwango.
Kuna mahali ilifikia nikaamini huenda wapinzani wanazalisha jezi za hovyo ili kuharibu brand ya timu,maana wanaongoza kuzikashifu jezi hizi.
Ukweli nikiona walizovaa wachezaji zina kiwango sana lakini sijawahi kuziona mtaani zaidi ya kuona watu wachache wa Dar wamevaa.
Nataka niwaambie viongozi wa Simba waache hii tabia ya kudhani watu huku mikoani wote hatuna uwezo wa kununua jezi original.Watuambie zinapatikana wapi