Nilitafuta na nimepata FIGO

Nilitafuta na nimepata FIGO

O-man

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
323
Reaction score
70
Baada ya hekaheka ya muda mrefu, hatimae sala zetu (pamoja na wana-JF) zimeleta mwanga. Jamaa yangu amepata msamaria wa kumsaidia na kwa uchunguzi wa awali - mambo ni mazuri.

Niliweka imani yangu JF na haikuniangusha.

Shukurani za kipekee ziwaendee wote walini-PM na kunipa faraja na maelekezo, na wengine wote waliochangia mawazo. Kwa umoja wetu, nasema.

Mungu awaangazie njia nyoofu, milele.
 
Baada ya hekaheka ya muda mrefu, hatimae sala zetu (pamoja na wana-JF) zimeleta mwanga. Jamaa yangu amepata msamaria wa kumsaidia na kwa uchunguzi wa awali - mambo ni mazuri.
Niliweka imani yangu JF na haikuniangusha.
Shukurani za kipekee ziwaendee wote walini-PM na kunipa faraja na maelekezo, na wengine wote waliochangia mawazo. Kwa umoja wetu, nasema: Mungu awaangazie njia nyoofu, milele.
0625888448 naomba unitafutee
Mkuu.@O-man ninakutakia kila la kheri jamaa yako apone inshallah.
 
0625888448 naomba unitafutee
Ni zaidi ya mwaka sasa tangu nimzike mgonjwa wangu. Nawashukuru wote waliomuombea taafif mgojwa huyo. Mungu kapitisha shani yake, alhamdulilahi.
 
Back
Top Bottom