Nilitaka kupiga kavu

Kila mtu ni mjinga ila viwango vya ujinga hutofautiana kati ya mtu na mtu.
Jipime una ujinga kiasi gan?
 

Huoni aibu kuweka upumbavu wako hapa, nani alikutuma kama si tamaa zako hakika ukimwi hautakuacha maana yaonesha hiyo ni tabia yako
 

Acha utoto hii story kawasimulie watoto wenzako. Hapa tunajadili mambo yenye akili sio ufuska. Peleka ukware wako huko.
 


usishukuru kuruka mtego kwani haikuwa nia yako kuuruka huo mtego . Cha msingi wew mshukuru huyo dada yake kwa kumuita la sivyo kuwa makini na haya mapenzi ya fasta fasta kwani kuingia kavukavu ni rahisi.
 
NASHUKURU KURUKA MTEGO[/QUOTE]


Huo ni utoto tena za kizaman za mapagalen na vyoon kwnye tiari bado!
afu unadai umeruka mtego, umeruka mtego gan sasa wakati dada yake kamuita?
 
Goosh! How old r u kid..?
Kwanza nyie ndo walewale ukijamba unapeleka fb! This is Jamii Forum!
***** gani huu?kwanza hiyo 'xo'style iyo!
Wewe ni form fulani, coz mwanaume kamili haendi kubanana bafuni kwa aunt yake,anaenda kusalimia then anatimka!
Wauswazi pori kabisa.. Af ukapime,mana umejirahisi sana wewe! Sijuw mwanaume mrahisi anaitwaje? Ptuu
 

You must have been born in the same day with TWEETER
 
Facebook utawatambua tu,sasa sie tukusaidie nini hapo kama ni kavu si ungepiga wewe badilika we mtoto !!
 
kila kitu mpaka mkielezee jf?

yamekukuta sana nini?maana wengine tunaexprience ya choo cha bar,nyuma ya ukuta,kwenye majani!!!nadhani na wewe una exprience,otherwise usingesema hivyo!!!!!
 
KAZI KWAKO ....................Vitamu vinauwa.....................
 
Kuanzia leo nahamia jukwa la siasa, mpaka hili wimbi la watoto lipunguwe huku, dah!
 
Watu wengine bana, kwani ka inakuboa c unapotezea. Hajalazimishwa mtu ku comment
 
Ngoma ya watoto haichezwi usiku. Endelea tu kujaribu iko siku utapata!!!!
 
Dogo unaiangusha jinsia ya kiume sasa wewe mpaka dada yake anamuita ulikuwa unamchelewesha nini?Na hata kama kaitwa si unamalizana naye kwanza ndio anaenda kwa huyo aliyemwita?Wenzio tulipokuwa bado na mapenzi ya chooni tulikuwa hatuwacheleweshi, yaani hapo unatakiwa uitake radhi jinsia ya kiume dogo .Ila nadhani ukikuakua kidogo mambo yatakuwa sawa tu..
 
Punguza Ugoni Kijana Mwenzangu...mamilioni ya vijana wenzio tuko tunahangaika makazini kufanya kazi na maofisini kusaka kazi wewe unafikiria kufanya ngono zembe CHOONI tena BILA CONDOM kwenye nyumba ya kupanga na mbaya zaidi kwa Shangazi yako..badilika, muda ndio huu, hujachelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…