Nilitaman kuona na NHIF imebadilishwa uongozi wa juu na bodi yake else yaleyale

Nilitaman kuona na NHIF imebadilishwa uongozi wa juu na bodi yake else yaleyale

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Rais Samia

Shikamooo

Ikikupendexa tunaomba ubafikishe viongozi kadhaa wa juu wa nhif

Wakitangulizwa na bodi yao

Wananchi wanateseka sana na hizi huduma za nhif sjui kama washakufikishia

Kadi zimekuwa shuhuli hizo bei zao sijui wanataka matajiri tu ndio waishi anyway bana kila la kheri
 
Back
Top Bottom