Ninasikitika kwa kutokuweza kutumia haki yangu ya kuchagua viongozi wangu leo. Nilijiandikisha kupiga kura, nilihakiki jina langu kwenye tovuti ya NEC, bahati mbaya nimepata safari ya ghafla ya kikazi. Nipo nje ya nchi. Najua kuna watanzania wengi leo ambao hawataweza kupiga kura kwa sababu mbali mbali. Sote, nami kwa niaba yao, nawatakia uchaguzi mwema.
Nashukuru kwa hilo Preta, nami nimeshaamsha familia yangu, ndio wako kituoni saa hii.tupo pamoja mkuu...lakini najua watanzania hawatafanya kosa.....mimi familia yangu yote imeniwakilisha.......😛eace:
Safi sana mkuu. Sijui mie nipige Kura ya maruhani...? hahahaTunakuwakilisha mkuu kwa kufanya uamuzi sahihi
Muajiri wako kada nini?
Au alishaona uelekeo wa kumchagua JK ni ziro?
kuna haja ya kuwa na kipindi cha early voting kama inavyofanywa nchi nyengine...............though nikifikiria kwa undani naona hapo ndo watakapopata chance ya kuchakachua

Duh Afadhali, maana yake simba akikosa mawindo...hula hata nyasiHapana mkuu, muajiri wangu wala hausiki na uchaguzi huu. Ni mambo ya kikazi tu.
Nikisoma thread yako naelewa kuwa wewe tayari umeshabadilika kimawazo na kukombolewa, hilo tu linanipa faraja, hata kama haupo nyumbani!...
Cha msingi ni mbegu ya fikra mpa inayoendelea kukua katika ubongo wako, hiyo ndiyo mtaji wa maendeleo kwa nchi...
Kama umekosa sasa hivi, naamini 2015 utakuwepo, na tutakuhitaji zaidi muda huo.
Safari njema, tunachoomba ni sala zako!