Nilitapeliwa nikinunua tarakilishi

Nilitapeliwa nikinunua tarakilishi

fired

Senior Member
Joined
Apr 4, 2021
Posts
151
Reaction score
311
Nikiwa dar nilikutana na mtu anauza tarakilishi alinionyeha ikiwa ndani ya mfuko na akaniharakisha ili tusishikwe na polisi.Aliitisha laki moja pekee. Kufika nyumbani nilipata nimeuziwa tarakilishi ambayo haifanyi kazi ya zamani
 
Kwann haitumiki ya zaman?
 
bei uliyonunua na kitu ulichokipata vinafanana kabisa..
Halafu kwa nini uogope police
 
Nikiwa dar nilikutana na mtu anauza tarakilishi alinionyeha ikiwa ndani ya mfuko na akaniharakisha ili tusishikwe na polisi.Aliitisha laki moja pekee. Kufika nyumbani nilipata nimeuziwa tarakilishi ambayo haifanyi kazi ya zamani
Nilifeli kiswahili TARAKILISHI,,Ndio nini
 
Najuta kufeli kiswahili..
Screenshot_20210718-210408.jpg
 
Back
Top Bottom