Nilitegemea ununuaji wa umeme toka Ethiopia uwe ni Top story TZ badala yake Simba na yaga zimetamalaki.

Nilitegemea ununuaji wa umeme toka Ethiopia uwe ni Top story TZ badala yake Simba na yaga zimetamalaki.

Hii hali inashsngaza sana. Toka sa11 alfajiri simba yanga simba yanga. Hizi radio zetu haziwezi kualika wataalsmu na wakatwangwa maswali directly ili watoe ufafanuzi wa kununua umeme Ethiopia.

Yaani distance kutoka Ethiopia na rufiji imekaaje aisee.hizo TL losses. Tunapigwa mchana kweupee
Sasa kama hamna akili tuwasaidieje!?
 
Kwa great thinker hakuna cha ajabu kwenye umeme
Ethiopia ina mkongo mkubwa kenya (inauzia umeme kwenya)
sasa kufanya extension pale namanga uingie Tanzania kutokea kenya kama ni bei rahisi; nini cha jabu?
Hata hivyo Nchi haitakiwi itegemee chanzo kimoja cha umeme, inamaana kukitokea changamoto Nchi nzima itakuwa giza (tuna nunua na tunauza kwa upande mwingine)
Au niseme ukishaunganisha Grid....unaweza kufungulia kwenda upande mmoja kulingana na mahitaji ya kipindi hicho....
 
Dj wa JF mada za ngono,mpira ndio zinaongoza top trend JF
 
Back
Top Bottom