Nilitegemea ununuaji wa umeme toka Ethiopia uwe ni Top story TZ badala yake Simba na yaga zimetamalaki.

Sasa kama hamna akili tuwasaidieje!?
 
Kwa great thinker hakuna cha ajabu kwenye umeme
Ethiopia ina mkongo mkubwa kenya (inauzia umeme kwenya)
sasa kufanya extension pale namanga uingie Tanzania kutokea kenya kama ni bei rahisi; nini cha jabu?
Hata hivyo Nchi haitakiwi itegemee chanzo kimoja cha umeme, inamaana kukitokea changamoto Nchi nzima itakuwa giza (tuna nunua na tunauza kwa upande mwingine)
Au niseme ukishaunganisha Grid....unaweza kufungulia kwenda upande mmoja kulingana na mahitaji ya kipindi hicho....
 
Dj wa JF mada za ngono,mpira ndio zinaongoza top trend JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…