Nilitembelea Buguruni Kimboka weekend. Hali inatisha

Sampa he!!
 
2007 ulikuwa first year! 🙄
 
Hii biashara ni kubwa mno na mbaya zaidi watu hawajanielewa. Siku hizi njia ni nyingi ikiwemo hiyo ya kuwa na biashara geresha na maisha fake mtandaoni ili wapewe dau kubwa.

Kuna wengi mjini wana wake wauzaji ila hawajui. Inasikitisha
Amini nakwambia, ukiona mwanamke yeyote, ana akaunti insta fb nk, familia picha zake ukiona kapiga picha kageuza matrako kwenye kamera, au anaonesha viungo hata kama kajistiri, bro kahaba huyo achana na mambo eti ni anajiheshimu mkuu hii biashara inafanyika Kwa akili kubwa sana, huwezi kuelewa kama hujajimix na hao viumbe, eti mke wa mtu eti muheshimiwa wewe stuka dunia inakuacha
 
Mahii kuna kitu hujakijua wee, unaweza ukawa uko kwenye hiyo fields, ila amini nakuambiaa kupata danga la maana ni bahati na ngekewa,
Km huna, utaishia kuswampa huko sehemu classic na usipate kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nadhani nilijudge hivyo kwa namna ambavyo una-interact na watu humu, marafiki zako wa humu etc ….
Nakuwaga najizima data tu, si unajua humu kuna muda hutakiwi kutumia akili sana😅🤣

Kuna mdogo wangu ni binti huwa ninaishi nae mara nyingi, sitaki ajiunge jf maana atasoma navyojizimaga data wakati mm ndio huwa nampa shule ya malezi
 
Kimboka,kote kule ungekabwa tu ukaibiwa.
Hicho kibastola unacho hujui kutumia, na hutakiwi kwenda nacho kwa maraya..
Wewe umeenda na bastola na upwiru wako.kutawanya wale ni sekunde tu.
Fanya kitu kimoja kwa wakati sahihi,
Huyo bibie mi nakwambia nishawai kuwa na malaya kibao.
Malaya anauza puchi yake, nyumbani anaweza kukulea wewe
 
Me hii research nliifanya mwenyewe practically kuanzia mikoa ya kaskazini
Arusha - shivas
Moshi - Malindi
Dar es salaam
Sinza africasana
Sinza maeda
Sinza kitambaa chaupe
Riverside
Uwanja wa fisi
Mwananyamala kwa wahaya
Kinondoni vijana
Kinondoni B ben pub
Sokota - sugar ray bar
Temeke sudan
Tandika
T.I.A geti la uelekeo wa darajani
Mbagala kisuma bar
Mbagala darlive
Bururuni kimboka
Buruguni sheli
Tabata the great
Mbezi mwisho bar ya lubumbashi
Goba lastanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…