Nilitiwa aibu ugenini sitasahau

Hii ni fix ya kutaka sympathy tu. Na hii imekuwa inspired na ule uzi ulioandikwa aidha leo au jana kuhusu kuishi kwa ndugu.

Ikiwa ni kisa cha kweli basi huo mkojo itakuwa ni wa popobawa, ungejikagua makalioni uone kama ulikuwa salama.
 
Hii ni fix ya kutaka sympathy tu. Na hii imekuwa inspired na ule uzi ulioandikwa aidha leo au jana kuhusu kuishi kwa ndugu.

Ikiwa ni kisa cha kweli basi huo mkojo itakuwa ni wa popobawa, ungejikagua makalioni uone kama ulikuwa salama.
Hisia zako
 
Ahh bonge acha kutukata stimu hebu endelea kidogo tujue ilikuwaje baada ya kushikwa pale lugalo na je ulirudi Tanga au ulikomaa Dar
 
Hujasema nani alikojoa
 
Mimi Kuna familia Fulani mke na mume wote ni ndugu zangu.

Mume kwa upande wa mama na mke kwa upande wa baba.

Ila nilienda pale ishu walionifanyia nilisijikia vibaya sana niliapa sitatia mguu tena Wala kuwasiliana nao tena iwe wao au watoto wao.

Kuna ndugu wapuuzi sana
 
Inawezekana ikawa kweli kuna baadhi ya familia wana roho mbaya. Ndo maana mi.binafsi sijawahi kitamani kwenda kwa ndugu.
Kuna ndugu yetu mmoja alioa sasa na familia yetu hainaga muda wa kufatiliana maisha ya mtu kila mtu anapambana na ya kwake. Sasa yule bwana aliyeoa siku ndugu zake wakienda kwake chakula kinachopikwa siku hiyo kitapikwa hicho hicho kama ni makande kama ni mrenda. Lkn siku wakienda ndugu wa mke wake yatapikwa mapochopocho ya kufa mtu.
Asa unajiuliza chakula mgeni amekuja ukamkarimu kwa upendo unapungukiwa nini. Jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda walikasirika baada ya wewe chief mangungo ku sign mkataba wa bandari
 
Hakuna nduguyo hasa anko anayeweza mfanyia hivyo mtoto wa dadake never! Na actually hakuna ndugu katili to that extent ya kumfukuza ndugu km mwizi kiasi hicho. Ni haiwezekani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…