mbna kazi yako ingekua rahisi pale ungepachika kaushahidi sasa apa maelezo mengi unategemea nnsi maelezo tu, hata facts nimeleta. mimi kuto make haimaanishi hawapo professionals wanao make BIG profits. nb: haku na kabisa pesa rahisi.
naomba ujitahidi kuelewa. unataka fact au maelezo gani? maelezo yote nimetoa.ungejua tushaona zaidi ya maelezo, mbna watu wanapiga picha kabisa na ndinga na majumba ilihali wewe unatoa maelezo tu
amna anaetaka maelezo weka trading history, mbna kazi ndogo tu hio, kuscreenhsot ndo unaona kazi kubwa?naomba ujitahidi kuelewa. unataka fact au maelezo gani? maelezo yote nimetoa.
hujanielewa, nimesema hivi, tufanye mimi ni loser. ila haimaanishi hawapo watu wanaotambulika kisheria kabisa, ambao wanatengeneza pesa. umeelewa? au huo si uthibitisho?mbna kazi yako ingekua rahisi pale ungepachika kaushahidi sasa apa maelezo mengi unategemea nn
nimekuelewa. ila jiu kangu ni hili: sija plan ku share trading history yangu na yeyote kwa sasa na kwa muda wote wa hapo mbeleni.amna anaetaka maelezo weka trading history, mbna kazi ndogo tu hio, kuscreenhsot ndo unaona kazi kubwa?
You cant make money from Forex, itsnot a business, FOREX itself isnt a markethujanielewa, nimesema hivi, tufanye mimi ni loser. ila haimaanishi hawapo watu wanaotambulika kisheria kabisa, ambao wanatengeneza pesa. umeelewa? au huo si uthibitisho?
usiwe unapenda kujielezea sana, cha kwanza matajiri hua wanajitahidi sana kuficha ela izi zingine ni agenda zako binafsi na we sio wa kwanzanimekuelewa. ila jiu kangu ni hili: sija plan ku share trading history yangu na yeyote kwa sasa na kwa muda wote wa hapo mbeleni.
sasa wanaopata profit wana make nini? wana make mchanga?You cant make money from Forex, itsnot a business, FOREX itself isnt a market
We jitoe akilisasa wanaopata profit wana make nini? wana make mchanga?
hahah kwanza ni wapi nimesema mimi ni tajiri? mimi si tajiri kabisa ni mdundulizaji.usiwe unapenda kujielezea sana, cha kwanza matajiri hua wanajitahidi sana kuficha ela izi zingine ni agenda zako binafsi na we sio wa kwanza
nithibitishie kwa fact kwamba hakuna anaye make money kwenye forex TRADING?We jitoe akili
kazi ndogo sananithibitishie kwa fact kwamba hakuna anaye make money kwenye forex TRADING?
kazi ndogo sana
Yes, FX trading can make you rich in the long run, but it is highly improbable for the vast majority of retail traders. Institutional data and regulatory disclosures consistently show that 70% to 90% of retail forex traders lose money over time. Long-term wealth creation through forex requires strict risk management, substantial starting capital, and an edge that beats transaction costs.Can Forex Trading Make You Rich?
Forex trading may be profitable for hedge funds or unusually skilled currency traders, but for average retail traders, forex trading can lead to huge losses.www.investopedia.com
View attachment 3622501
hizo siasa mbna tushaziskia sana, si unaona mwenyewe hutak kuproveYes, FX trading can make you rich in the long run, but it is highly improbable for the vast majority of retail traders. Institutional data and regulatory disclosures consistently show that 70% to 90% of retail forex traders lose money over time. Long-term wealth creation through forex requires strict risk management, substantial starting capital, and an edge that beats transaction costs.
mkuu, jitahidi kusoma kwa ufahamu. hizo 20% zilizobaki usidhani walio kwenye hizo basi ni malaika. no ni watu kama wewe, na hata wewe unaweza kuwa miongoni mwao.hizo siasa mbna tushaziskia sana, si unaona mwenyewe hutak kuprove
situmii machine/bot na sina mpango wa kutumia hat mbeleni, ni moja ya sehemu ya mkakati wangu.Achana na forex kama hautrade kwa mashine, izo siasa zingine tushazizoea
mpaka imebidi nicheke 😂mkuu, jitahidi kusoma kwa ufahamu. hizo 20% zilizobaki usidhani walio kwenye hizo basi ni malaika. no ni watu kama wewe, na hata wewe unaweza kuwa miongoni mwao.
cheka tu. ni wazi uliwahi kufanya fx trading ukakata tamaa na kuamua kunyoosha mikono juu, usiwa discourage vijana. acha watumie fursa. kukosea ndiko kujifunza.mpaka imebidi nicheke 😂