Nilitoa kafara miaka mitano kujifunza Forex

Bwana mkubwa hebu usituhalibie nguvu kazi ya taifa ikiwa huna ushahidi wako mwenyewe kuzibitisha mafanikio yako usilete mambo ya George sorros hapa
 
Bwana mkubwa hebu usituhalibie nguvu kazi ya taifa ikiwa huna ushahidi wako mwenyewe kuzibitisha mafanikio yako usilete mambo ya George sorros hapa
bado una mwiba mkali moyoni mwako na historia chungu ya forex trading. pole. wewe ulipokuwa unatafuta mentors, wenzio tulikuwa tunakomaa kujifunza wenyewe kwenye live scenarios.
 
bado una mwiba mkali moyoni mwako na historia chungu ya forex trading. pole. wewe ulipokuwa unatafuta mentors, wenzio tulikuwa tunakomaa kujifunza wenyewe kwenye live scenarios.
Bwana mkubwa Lete ushahidi hapa wacha janja za ati mwiba mchungu
 
Wakubwa mimi ngoja niseme tu ukweli, nyinyi mnaosema mmejifunza miaka, kama wewe ulivyosema miaka 8 sijui mara miaka 6 mnaifanya forex forex ionekane kama uongo! miaka 6 unajifunza kipi hasa?

Kwa mtu asiyejua chochote jinsi ya ku-trade akianza kujifunza atajua ndani ya masaa 7 tu, kuhusu ufundi ili ajue anachofanya badala ya kubahatisha, mtu atajifunza kutumia indicator kwa muda hata wa siku 3 tu akaelewa kabisa kinachobaki ni uzoefu na ili kuwa na uzoefu ni lazima mtu a-trade siyo nyie eti "nimejifunza miaka sasa ndo nimeanza ku-trade matunda nimeyaona" KENGE WAKUBWA NYIE! miaka yote hiyo unajifunza kitu gani hasa ambacho hujakielewa hadi miaka? kama ni kweli basi ninyi hamna tofauti kubwa na wale wanaanza kusoma shule chekechea hadi la saba na wasijue kusoma!

Kwanza we mtoa post naona we ni mbanga tu hujui lolote unaongea kwa kufuata mkumbo, unaruhusiwa kubisha lakini japo ukweli ndo huo.
 
ni mtazamo wako, nauheshimu. kumbuka kuwa, inaweza kuchukua miaka mpaka kumi kutengeneza, kui test na kuanza kutumia strategy ili kutengeneza faida. achana na trading za mazoea. trade like a pro.
 
ni mtazamo wako, nauheshimu. kumbuka kuwa, inaweza kuchukua miaka mpaka kumi kutengeneza, kui test na kuanza kutumia strategy ili kutengeneza faida. achana na trading za mazoea. trade like a pro.
Unajua mnaposema hivyo mnachekesha sana, mkakati mtu atakuwa nao ndani ya mwezi tu, halafu huo u-pro ndo upi ilihali wewe kwenye post ya leo umesema umejifunza miaka 8 na huna lolote?
 
Unajua mnaposema hivyo mnachekesha sana, mkakati mtu atakuwa nao ndani ya mwezi tu, halafu huo u-pro ndo upi ilihali wewe kwenye post ya leo umesema umejifunza miaka 8 na huna lolote?
umechanganya, yule siyo mimi. mimi nilikuwa mchangiaji tu nikitoa ushauri kiroho safi.
 
Kitendo cha kuanza na mtaji wa 20$ na kuikuza hata mara 10 tayari huo ni u-pro we unazungumzia u-pro gani? kwanza kila position unayofungua upo sahihi au?
 
Kitendo cha kuanza na mtaji wa 20$ na kuikuza hata mara 10 tayari huo ni u-pro we unazungumzia u-pro gani? kwanza kila position unayofungua upo sahihi au?
no, huwezi kuwa correct kwenye kila positin. kuwa pro means kuwa profitable on the long run, kwamba winners ni nyingi kuliko losses. na siyo kwa bahati bahati. yes unaweza kui multiply $20 mpaka $200 kwa kubahatisha trade moja au mbili tu. sasa hapo huwezi kuseam wewe ni pro. ila unabahatisha bahatisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…