Sawa lakini nyinyi mnaosema mmejifunza miaka ni waongo huo u-pro mtu anaupata kwa ndani ya miezi 4 tu, miaka ni kitu gani unajifunza?no, huwezi kuwa correct kwenye kila positin. kuwa pro means kuwa profitable on the long run, kwamba winners ni nyingi kuliko losses. na siyo kwa bahati bahati. yes unaweza kui multiply $20 mpaka $200 kwa kubahatisha trade moja au mbili tu. sasa hapo huwezi kuseam wewe ni pro. ila unabahatisha bahatisha.
strategies ni tofauti... kila mmoja ana yake. ndiyo maana huyu anatumia mwezi kui develop, huyu anatumia mwaka, na huyu antumia miaka 7Sawa lakini nyinyi mnaosema mmejifunza miaka ni waongo huo u-pro mtu anaupata kwa ndani ya miezi 4 tu, miaka ni kitu gani unajifunza?
hapana, strategy inatengenezwa kwa ku trade ila si real funds. wengi wanatumia pesa zao kutengeneza strategy, ila kwenye kui test ni lazima utumie pesa na ule loss kweli kweli. 5 years si haba. ukiwa goigoi una quit mapema.Wewe! yaani utengeneze mkakati kwa miaka bila kutrade? baada ya hapo unaanza kupata mafaida😂 acha kufanya watu waendelee kutapeliwa kwenye biashara hii.
ushahidi nenda kaulize kwa AIMwamba lete ushahidi basi
au ndio zee la town ina akisi kwako
sasa wewe umeleta mada ya nini humu si ungetuambia tuulize AIushahidi nenda kaulize kwa AI
sijapanic... ningetaka kutapeli ningefanya hivyo. lengo la uzi ni kueleza kuwa kuna watu wanatengeneza fedha kupitia forex, ambayo wengi wanashindwa.sasa wewe umeleta mada ya nini humu si ungetuambia tuulize AI
baada ya kukosa mawindo umepanic sio
Huna namba ya mulilo hapo niriripoti mara moja hili tapeli halina nyaraka zozote za ithibatisasa wewe umeleta mada ya nini humu si ungetuambia tuulize AI
baada ya kukosa mawindo umepanic sio
sasa mkuu unataka niseme ndiyo? mimi ni mhandisi magari na ndyo taaluma niifanyayo. fx pia nafanya professionallyzee_latown kwahyo wewe kwa sasa unatrade kwa profit baada ya miaka 5 ya kujigunza?
By Zee la mjiniKuna mtu anatafutwa hapa , akijaa kaisha!
thibitisha kwa fact nimemtapeli mtu? je, nimehitaji yeyote aje pm? nimejitaja kuwa mimi ni mentor? nimeomba pesa kwa yeyote? ukijiuliza haya na ukaona nimefanya mojakati ya hayo, basi mpigie huyo Muliro, hata namba yake ninaweza kukupatia.Huna namba ya mulilo hapo niriripoti mara moja hili tapeli halina nyaraka zozote za ithibati
FX kufanya kiprofessionally sio shida, nilikua nataka kujua kwa miaka yote uliyoitoa kafara sasa umeanza kufaidika?sasa mkuu unataka niseme ndiyo? mimi ni mhandisi magari na ndyo taaluma niifanyayo. fx pia nafanya professionally
swali zuri. patience pays.FX kufanya kiprofessionally sio shida, nilikua nataka kujua kwa miaka yote uliyoitoa kafara sasa umeanza kufaidika?
Kwenda bhana kama umekula dili na mabroker upige promo mpate kondoo zaidithibitisha kwa fact nimemtapeli mtu? je, nimehitaji yeyote aje pm? nimejitaja kuwa mimi ni mentor? nimeomba pesa kwa yeyote? ukijiuliza haya na ukaona nimefanya mojakati ya hayo, basi mpigie huyo Muliro, hata namba yake ninaweza kukupatia.
Najua huo msemo mkuu ila nataka kijua kutoka kwako je imekulipa? Au ndio unaanza kuona nuru au bado kabisa unaendelea kuwa mvumilivu?swali zuri. patience pays.
wewe ndiyo ukwende, kwa sababu ni wewe ndiye umekuja kwenye uzi wangu, ilhali ungweza kuu ignore ungehitaji. sipo hapa na sijaleta uzi huu kula kichwa cha yeyote. siyo mentor, sipokei kumi kutoka kwa mtu, nimeleta facts kwamba inawezekana if one is serious.Kwenda bhana kama umekula dili na mabroker upige promo mpate kondoo zaidi
mkuu, nuru nione mara ngapi? mpaka naleta uzi huu ina maana si nuru tu, bali jua kabisa in its full powers. na ndiyo maana nimekuja kupinga misconceptions za wengi humu kuhusiana na forex trading. only that. sitafuti kichwa cha mtu yeyote wala fedha ya mtu yeyote.Najua huo msemo mkuu ila nataka kijua kutoka kwako je imekulipa? Au ndio unaanza kuona nuru au bado kabisa unaendelea kuwa mvumilivu?
Noma kidogosijakuelewa