Nilitolewa kijasho na ntoto wa afu mbili

Tukiwaambia platinum ni madish muwe mnaelewa, si mmeona wenyewe..!!
 
Mtoto wa 2000 kwa sasa ana miaka 26, kwa wataalamu wa ithibati huyu tayari ni mmama
 
Sijawahi kuelewa inakuaje mtu anaposema ametolewa jasho na mwanamke linapokuja suala la sex. Haijalishi wa umri gani, sijawahi kuelewa hata kidogo. Yan mwanaume kabisa inawezekanaje. Labda kama mgonjwa
Kama hutoki jasho....tuone tukupe ushauri....
Au jitahidi kunywa maji kwa wingi.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…