Huu msimu watoto wamejipanga. Ona arsenal kasimamishwa leo na kesho usishangae shelfield utd akafanya maajabu- Hivi ndivyo Erik ten Hag anakosea, siku zake zinahesabika
Ange wa Tottenham amekuja juzi tu na team inacheza kwa kujuana lakin Man utd hakuna a uniform style.
Team haina confidence, team inapwaya.
Siku zake zinahesabika.
Makocha utawaelewa akili zao basi!!Sasa cucurella wa nini wakati tuna shaw na malacia
Sasa cucurella wa nini wakati tuna shaw na malacia
Hauwezi linganisha makapi kama sijui kukurera kwa mtu kama shaw.Shaw huyu au mna mwingine View attachment 2729954