Nilivyofanikiwa kurudisha mikononi mwangu kamusi iliyoibwa na mwanafunzi aliyenizidi miaka kumi na moja nikiwa Darasa la Saba

Ndiyo mkuu
 
Kumbe UJASUSI ulianza kitaambo 😎
 
K O N G O L E kwa simulizi murua kabisa. Ninakushauri uanze kuandika vitabu vya kujisomea Wanafunzi kwa kuwa unacho kipaji cha uandishi a pia ni Mwalimu. Unayafahamu mzingira ya wanafunzi wa sasa na changamoto zao muda huu ni zipi. Unaweza kuanza na hadithi za watoto kwa picha na maandishi machache. Aidha, sisi tuliosoma vitabu vya Mr and Mrs Daudi, Japesa na Nimwindie tulinufaika pakubwa kwa zile picha, majedwali na Fill in the blanks. Ahsante sana kwa stori ya skonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…