Nilivyokutana na jimama (Shugamamy) langu

"Njoo tu usukume mlango Sweet usihofu"nikadekerea kushoto then kulia nikanyanyua mguu huyoo nikavuta mlango coz palikua kimyaa alaf pameandikwa 'Pull’....

Kama bahati tu nimescroll uzi nikatua hapo tu, mlango umeandikwa PULL ila jimama limesema USUKUME.... mamong’oo machalii ya ARA.
 
Nimeishia njiani baada ya kuanza kusoma.
Nyoronyoro.
Sijui akili yako inadhani wote tuliopo humu ni rika km lako.
 
Nadhani Sasa ivi wamezidi kutaniwa kwasababu ya mkulu
Ni kweli ila watu wengi wakiwa wanafanya ubaya fulani isikufanye na wewe ukaona kutenda ile dhambi ni halali.. Wingi wa watenda mabaya hauhalalishi ubaya huo.
Watu ni watu na wao ni wao...kila mtu roho yake ndio itahukumiwa sio kikundi fulani.
Jaribu kutokufanya vitu kutokana na msukumo wa makundi ya watu
 
Nimeishia nusu ata sielew
 
Hii itakuwa rahaja mpya ya kiswahili
 
Lakini wanawake Mungu awabariki tuuu..... maana kuna wakati wanafanywa na viumbe wa ajabu mfanao hakuna! sasa kama huyu chaliii inawezekana hata kuoga lazima asimamiwi vinginevyo na baridi la Arusha anaweza kata hata mwezi bila kuoga.
 
Anaemwelewa aseme
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…