SoC02 Nilivyomsaidia Msichana wangu wa kazi hadi kuja kuwa Nesi na kupata kazi na hivyo kutimiza ndoto zake

Stories of Change - 2022 Competition

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Mwaka 2013 nilipataga Binti wa kazi kutoka Mkoa wa Kigoma wailaya ya Kakonko, Binti alikuwa na miaka 13 na ndo alikuwa amemaliza Darasa la Saba na kwa sababu yachangamoto za amaisha ndo ikambidi akafanye kazi za ndani.Binti baada ya kumpokea alikuwa ni mchapa kazi kweli kweli. Kazi zake sana ilikuwa ni akae na mtoto kwa sababu Mke wangu alikuwa kwenye majukumu mengine na Watoto wengine wako shule.

Binti wa kazi kuna jambo nilishangaa kidogo kutoka kwake nalo ni la kupenda sana kusoma vitabu viwe vya shule, visiwe vya shule na cha kushangaza zaidi alikuwa anasoma hadi magazeti, hili lilinishutua sana kwa yeye kupenda kusoma magazetu make ni na dra sana kwanza hata kwa sisi wasomi kupenda kusoma soma, tunapenda sana kuangalia TV tukiwa nyumbani ila yule binti wa kazi hakuwa kabisa anaangalia TV kama ilivyo ada ya Wasichana wa kazi. Hii mimi niliona ni kitu kisicho cha kawaida ingawa mke wangu hakuona kama ni ajabu.

Baada ya muda matokeo yakawa yametoka na Binti akaw amefaulu kwenda kidato cha 1 huku huko kwao Kakonko.Ule ufaulu wake haukumpendezesha sana mke wangu kwa sababu alipenda binti afeli ili aendelee kutunza motto ila mimi kwa namna nilivyo kuwa namuona anapend kusoma soma nikajua tu lazima afaulu na nisha anza kutafuta bint wa kazi.

Baada ya siku kadhaa tangu matokeo yatoke binti akaniambia kwamba hataki kurudi kwao kwa ajili ya kuanza kusoma na nilishangaa sana ila Binti alikuwa na hoja zake za msingi sana, Shule alio pangiwa iko mbali sana na nyumbani kwao na huwa anawaona wenzao wanavyo teseka kwa kutembea, kule watamuoza mapema make wakubwa zake wote wameolewa na waliacha shule katikati na pia majirani anawaona, Mifano yake ilikuwa na mshiko sana kwa sababu inaonekana yaani hana mfano mwema pale kwao way eye kujifunzia. Swali nililo muuliza je sasa hutaki shule? Binti akasema anapenda sana kusoma ila tu hataki kurudi kwao kusoma.

Kitendo cha Binti kusema hataki kurudi kwao kilimfurahisha sana Mke wangu make alisha pata wasiwasi. Mimi ilibidi niwaze sana kwamba yule binti anaonekana ana ndoto zake na anaonekana anapenda kusoma na ushahidi ninao kwa sababu anapenda sana kusoma soma vitabu.

Baada ya siku kadhaa nikaja na jibu kwamba Binti asomee nyumbani ila atasoma QT na awe anafundishwa na walimu wa Tuition, nika mshirikisha mke kwa kweli alipinga sana lile wazo make kwanza sio majukumu yetu na alishangaa sana make ni jambo la ajabu na geni na hajawahi ona kokote kule hivyo alipinga vikari sana binti kusoma. Ikabidi nimueleweshe sana na kumwambia yule binti anakaa na mototo na walisha pita wasichana wengi sana wasumbufu hivyo zawadi pekee kwa huyu binti ni kwa yeye kusoma na tutapanga utaratibu ambao hautaathili kazi zake za kawaida. Mke alikuja kukubaliana na mimi baadae shingo upande.

Nika mueleza binti sasa kwamba nitakutafutia walimu utasomea hapa hapa na watakuwa wanakuja kukufundisha hapa hapa nyumbani, Binti alifurahi sana kusikia atasoma na pia niliwasiliana na waazi wake hasa Baba yake na nikma shule sana Baba na kweli Baba yake alikuja kukubaliana na mimi kwa asilimia 100. Mama hakupenda na nazani alitaka aje kupata mjukuu mapema. Baba wa binti akasema hata mshahara wake sasa usitume uongezee kwenye gharama zake za yeye kusoma. Hii ilikuwa habari njema sana kwangu.

Kwa sababu nyumbani vitabu vilikuwepo vya kutosha ni vitabu vya watoto wangu wakubwa na pia ndugu wengine, hivo zoezi la yeye kusoma lilikuwa rahisi yaani materio yapo ya kutosha. Kilicho fuata ni kuwatafuta walimu sasa wanipe gharana na ratiba zao, na gharama ilikuwa Tsh 15,000/ kwa siku 3 kwa wiki, na endapo iyakuwa full time wiki nzima itakuwa sh 25,000/ kwa mwanzi nika opt full time na kweli nikapewa ratiba. Binti akaanza kusoma masomo yote, walimu walikuwa wanapeeana zamu na ratiba zilipangwa ili zisiathiri ratiba zingine za nyumbani.

Binti sasa bidii ya kazi ikaongezeka mara dufu ili apate muda mwingi wa kusoma, na uzuri mtoto alikuwa anaweza cheza mwenyewe na wenzake hivyo binti kazi za ndani alikuwa anamaliza mapema sana na kulikuwa na ndugu mwingine pale ikabidi nimwambie amsaidie baadhi ya kazi ili apate muda wa kusoma. Masomo yalianza 2014 hadi 2017 na baadhi ya ndugu zangu na binti wangu anae soma walivyo kuwa wanarudi nyumbani walikuwa wanaungana naye kusoma, Sema yue Binti wa kazi alionekana kichwa sana alikuwa na akili sana hasa hesabu, walimu wa tuition wenyewe walikuwa wana msifia sana.

Mwaka 2017 akafanya mtihani wa Taifa kama private candidate na matokeo baada ya kutoka binti alipiga B, C na D hesabu alipiga C, Biology C,Chemistry B, Arts ndo alipata C na D, huu ufaulu kusem ukwel hata motto wangu hakuwa na ufaulu wa aina hii. Binti kuanzia mwanzo alipenda kusomea Udakitari na matokeo haya kwa kweli yali endana na ndoto zake. Kilicho fuatani Binti aende kidato cha 5 na 6 Ila ukweli mimi huwa sio muumini wa kidato cha 5 na 6 hivyo binti nikamshauri kwamba aende akasomee Unesi na baadae mbele ya safari ata jiongeza hadi afaikie levo ya udakitari make muda na umuri unaruhusu na pia atakuwa na pesa, binti kakubali.

Nikafanya mawasiliano na Baba yake kuhusu hili Baba yake alifurahi sana ingawa pia aliwahi kuja kumtembelea nyumbani kwangu, ba Baba yake alikuwa tiyari kuuza baadhi ya mashamba yake binti asome na mimi nikachangia pia kaisi Fulani binti akaenda Chuo na alisha maliza na post za juzi za watumishi wa afya na yeye kapangiwa hivyo kapata kazi.

Hii kwangu ni furaha na ndo ilikuwa zawadi yangu kwa huyo binti, na nafurahi sana kuwa sehemu ya maisha yake na siku atakapo andika au kutoa kitabu cha kuhusu maisha yake nina amini jina langu halitakosekana.

Mabinti wengi wa kazi tunao letewa majumbani mwetu wengi bado wana kuwa na ndoto zao sema tu umasikini ndo huwa tatizo na pia wengi wanakuwa walisha kata tama na kujua kabisa kwenda kufanya kazi za ndani ndo mwisho wa ndoto zao na pia kule kazini mabosi wao huwa ni wakari na hawawezi ruhusu binti aendeleze ndoto zake

Kumsaidia msichana wa kazi kutimiza ndoto unakuwa umesaidia sana familia yao. ukiweza msaidie make hio inaweza kuwa zawadi kubwa sana kwake na anaweza asikusahau maisha yake yote.
 
Upvote 14
Haya sasa huyo my wife wako anasema je.

Na je bado ni mjakazi wako au ni mke I mean bi mdogo.

Umefanya vema, pengine hautalipwa wewe ila watoto wako au kizazi chako.

Una moyo mzuri, hongera mwaya

Andiko zuri
 
Hapana sio kwa sasa mtu ana kazi yake na hata mchumba pia.
 
Watu wenye roho za hivyo ni wachache sana ninamjua JIRANI mmoja kipindi nipo JANK mtaani aliwahi msaidia MFANYAKAZI wa ndani mpka akafika CHUO KIKUU now hiyo nint anafanya KAZI SERIKALINI

zaidi ubarikiwe sana mkuu
WEMA HAUOZI utalipwa hata kwa WAJUKUU zako
ipo SIKU wema wako utalipwa kwa mtindo wowote ule
7BU jambo unalolifanya leo MATOKEO yake ni KESHO
 
Hongera sana kwa hilo, pia ulipata binti anajielewa na hivyo mkakutana wote mnaojitambua, Mungu akuzidishie kwakweli!
 
Mwaka 2013 nilipataga Binti wa kazi kutoka Mkoa wa Kigoma wailaya ya Kakonko, Binti alikuwa na miaka 13 na ndo alikuwa amemaliza Darasa la Saba na kwa sababu yachangamoto za amaisha ndo ikambidi akafanye kazi za ndani.Binti baada ya kumpokea alikuwa ni mchapa kazi kweli kweli. Kazi zake sana ilikuwa ni akae na mtoto kwa sababu Mke wangu alikuwa kwenye majukumu mengine na Watoto wengine wako shule.

Binti wa kazi kuna jambo nilishangaa kidogo kutoka kwake nalo ni la kupenda sana kusoma vitabu viwe vya shule, visiwe vya shule na cha kushangaza zaidi alikuwa anasoma hadi magazeti, hili lilinishutua sana kwa yeye kupenda kusoma magazetu make ni na dra sana kwanza hata kwa sisi wasomi kupenda kusoma soma, tunapenda sana kuangalia TV tukiwa nyumbani ila yule binti wa kazi hakuwa kabisa anaangalia TV kama ilivyo ada ya Wasichana wa kazi. Hii mimi niliona ni kitu kisicho cha kawaida ingawa mke wangu hakuona kama ni ajabu.

Baada ya muda matokeo yakawa yametoka na Binti akaw amefaulu kwenda kidato cha 1 huku huko kwao Kakonko.Ule ufaulu wake haukumpendezesha sana mke wangu kwa sababu alipenda binti afeli ili aendelee kutunza motto ila mimi kwa namna nilivyo kuwa namuona anapend kusoma soma nikajua tu lazima afaulu na nisha anza kutafuta bint wa kazi.Baada ya siku kadhaa tangu matokeo yatoke binti akaniambia kwamba hataki kurudi kwao kwa ajili ya kuanza kusoma na nilishangaa sana ila Binti alikuwa na hoja zake za msingi sana, Shule alio pangiwa iko mbali sana na nyumbani kwao na huwa anawaona wenzao wanavyo teseka kwa kutembea, kule watamuoza mapema make wakubwa zake wote wameolewa na waliacha shule katikati na pia majirani anawaona, Mifano yake ilikuwa na mshiko sana kwa sababu inaonekana yaani hana mfano mwema pale kwao way eye kujifunzia. Swali nililo muuliza je sasa hutaki shule? Binti akasema anapenda sana kusoma ila tu hataki kurudi kwao kusoma.

Kitendo cha Binti kusema hataki kurudi kwao kilimfurahisha sana Mke wangu make alisha pata wasiwasi. Mimi ilibidi niwaze sana kwamba yule binti anaonekana ana ndoto zake na anaonekana anapenda kusoma na ushahidi ninao kwa sababu anapenda sana kusoma soma vitabu.

Baada ya siku kadhaa nikaja na jibu kwamba Binti asomee nyumbani ila atasoma QT na awe anafundishwa na walimu wa Tuition, nika mshirikisha mke kwa kweli alipinga sana lile wazo make kwanza sio majukumu yetu na alishangaa sana make ni jambo la ajabu na geni na hajawahi ona kokote kule hivyo alipinga vikari sana binti kusoma. Ikabidi nimueleweshe sana na kumwambia yule binti anakaa na mototo na walisha pita wasichana wengi sana wasumbufu hivyo zawadi pekee kwa huyu binti ni kwa yeye kusoma na tutapanga utaratibu ambao hautaathili kazi zake za kawaida. Mke alikuja kukubaliana na mimi baadae shingo upande.

Nika mueleza binti sasa kwamba nitakutafutia walimu utasomea hapa hapa na watakuwa wanakuja kukufundisha hapa hapa nyumbani, Binti alifurahi sana kusikia atasoma na pia niliwasiliana na waazi wake hasa Baba yake na nikma shule sana Baba na kweli Baba yake alikuja kukubaliana na mimi kwa asilimia 100. Mama hakupenda na nazani alitaka aje kupata mjukuu mapema. Baba wa binti akasema hata mshahara wake sasa usitume uongezee kwenye gharama zake za yeye kusoma. Hii ilikuwa habari njema sana kwangu.

Kwa sababu nyumbani vitabu vilikuwepo vya kutosha ni vitabu vya watoto wangu wakubwa na pia ndugu wengine, hivo zoezi la yeye kusoma lilikuwa rahisi yaani materio yapo ya kutosha. Kilicho fuata ni kuwatafuta walimu sasa wanipe gharana na ratiba zao, na gharama ilikuwa Tsh 15,000/ kwa siku 3 kwa wiki, na endapo iyakuwa full time wiki nzima itakuwa sh 25,000/ kwa mwanzi nika opt full time na kweli nikapewa ratiba. Binti akaanza kusoma masomo yote, walimu walikuwa wanapeeana zamu na ratiba zilipangwa ili zisiathiri ratiba zingine za nyumbani.

Binti sasa bidii ya kazi ikaongezeka mara dufu ili apate muda mwingi wa kusoma, na uzuri mtoto alikuwa anaweza cheza mwenyewe na wenzake hivyo binti kazi za ndani alikuwa anamaliza mapema sana na kulikuwa na ndugu mwingine pale ikabidi nimwambie amsaidie baadhi ya kazi ili apate muda wa kusoma. Masomo yalianza 2014 hadi 2017 na baadhi ya ndugu zangu na binti wangu anae soma walivyo kuwa wanarudi nyumbani walikuwa wanaungana naye kusoma, Sema yue Binti wa kazi alionekana kichwa sana alikuwa na akili sana hasa hesabu, walimu wa tuition wenyewe walikuwa wana msifia sana.

Mwaka 2017 akafanya mtihani wa Taifa kama private candidate na matokeo baada ya kutoka binti alipiga B, C na D hesabu alipiga C, Biology C,Chemistry B, Arts ndo alipata C na D, huu ufaulu kusem ukwel hata motto wangu hakuwa na ufaulu wa aina hii. Binti kuanzia mwanzo alipenda kusomea Udakitari na matokeo haya kwa kweli yali endana na ndoto zake. Kilicho fuatani Binti aende kidato cha 5 na 6 Ila ukweli mimi huwa sio muumini wa kidato cha 5 na 6 hivyo binti nikamshauri kwamba aende akasomee Unesi na baadae mbele ya safari ata jiongeza hadi afaikie levo ya udakitari make muda na umuri unaruhusu na pia atakuwa na pesa, binti kakubali.

Nikafanya mawasiliano na Baba yake kuhusu hili Baba yake alifurahi sana ingawa pia aliwahi kuja kumtembelea nyumbani kwangu, ba Baba yake alikuwa tiyari kuuza baadhi ya mashamba yake binti asome na mimi nikachangia pia kaisi Fulani binti akaenda Chuo na alisha maliza na post za juzi za watumishi wa afya na yeye kapangiwa hivyo kapata kazi.

Hii kwangu ni furaha na ndo ilikuwa zawadi yangu kwa huyo binti, na nafurahi sana kuwa sehemu ya maisha yake na siku atakapo andika au kutoa kitabu cha kuhusu maisha yake nina amini jina langu halitakosekana.

Mabinti wengi wa kazi tunao letewa majumbani mwetu wengi bado wana kuwa na ndoto zao sema tu umasikini ndo huwa tatizo na pia wengi wanakuwa walisha kata tama na kujua kabisa kwenda kufanya kazi za ndani ndo mwisho wa ndoto zao na pia kule kazini mabosi wao huwa ni wakari na hawawezi ruhusu binti aendeleze ndoto zake

Kumsaidia msichana wa kazi kutimiza ndoto unakuwa umesaidia sana familia yao. ukiweza msaidie make hio inaweza kuwa zawadi kubwa sana kwake na anaweza asikusahau maisha yake yote.
Ulifanya poa Sana mkuu......Hakika pepo utaikaribia....
 
Asante sana mleta mada, Mungu akubariki mno.
Pia nimependa sana ufaulu wa huyo binti, Angeingia darasani angetoka na one
 
Hata mkeo ni mtu mwema sana, wanawake wengine wangedhani unamaslahi nae, hasa kimapenzi.

Kumgarimia mtu baki hasa aina hii ya jamii (house girls) inayodharauliwa na kuchukuliwa poa kutoa fedha ya elimu yake ili kumuinua kimaisha ndiyo

IBADA HALISI. MUNGU AKUONGEZEE ULIPOPUNGUZA NA AKUZIDISHIE MARA DUFU.
 
Hongera sana mkuu,hakika Mungu atakulipa makubwa sana.
 
May God grant you miaka mingi ikiwa ulifanya hivyo

Nimeshuhudia dada wa kazi wengi wakiteswa na ndugu zangu kila nikikumbuka sijisikii vizuri.
 
Back
Top Bottom