William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Kocha kuna viongozi wanakula na wachezajiNi kama sharti la kwanza kuwa kocha Simba ni kuacha kumtumia Chama.
Kila kocha anayepewa timu isipokuwa ngunda tu hujaribu kutomtummia.
Ukweli ni kuwa chama hana mbadala wake kutoka africa hii labda tumsajili sadio Mane.
Kwanini Chama akae nje dk 60 kumpisha onana? Viongozi hawajitambui. Mkimpa kocha timu msimpe na majungu.
Alivyosema siangalii majina na huko nyuma nikajua Chama atakoma........
Uongozi unaweka chuki sana na wachezaji wasiowagaia mishahara. Okra, Sacko, Banda wameondoka wakiwa bora mno kuliko onana, cramo, ngoma
Mbona wewe unaleta majunguNi kama sharti la kwanza kuwa kocha Simba ni kuacha kumtumia Chama.
Kila kocha anayepewa timu isipokuwa ngunda tu hujaribu kutomtummia.
Ukweli ni kuwa chama hana mbadala wake kutoka africa hii labda tumsajili sadio Mane.
Kwanini Chama akae nje dk 60 kumpisha onana? Viongozi hawajitambui. Mkimpa kocha timu msimpe na majungu.
Alivyosema siangalii majina na huko nyuma nikajua Chama atakoma........
Uongozi unaweka chuki sana na wachezaji wasiowagaia mishahara. Okra, Sacko, Banda wameondoka wakiwa bora mno kuliko onana, cramo, ngoma
Nilivyosikia kocha anaitwa Benchika nikajua lazima Chama atabenchika.Ni kama sharti la kwanza kuwa kocha Simba ni kuacha kumtumia Chama.
Kila kocha anayepewa timu isipokuwa ngunda tu hujaribu kutomtummia.
Ukweli ni kuwa chama hana mbadala wake kutoka africa hii labda tumsajili sadio Mane.
Kwanini Chama akae nje dk 60 kumpisha onana? Viongozi hawajitambui. Mkimpa kocha timu msimpe na majungu.
Alivyosema siangalii majina na huko nyuma nikajua Chama atakoma........
Uongozi unaweka chuki sana na wachezaji wasiowagaia mishahara. Okra, Sacko, Banda wameondoka wakiwa bora mno kuliko onana, cramo, ngoma
Chama hana mbadala pale Simba, ile nafasi ya Saido wampe yeye. Kule kwa Onana ni kituko aisee wakati Phiri Yuko nje. Inawezekana sababu ni mechi ya kwanza ya kocha kajionea mwenyewe.Ni kama sharti la kwanza kuwa kocha Simba ni kuacha kumtumia Chama.