TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,199
- 3,307
Habari wakuu.
Nimeonelea niandike kuhusu kisa hiki cha aibu ambacho sijawahi kumsimulia mtu ili wana Jamiiforums wote tuweze kujifunza madhara ya kukosa uaminifu na ku-cheat kwa mke/mume au mpenzi wako.
Kutokana na changamoto ya kuwa mbali na mchumba wangu wa muda mrefu sababu ya kuwa mikoa tofauti, nimejikuta nikiangukia katika dhambi ya kuchepuka na kufanya mapenzi na wanawake wengine mara kadhaa.
Sasa, mnamo wiki sita hivi zilizopita, kuna mwanamke mmoja nilichepuka nae na kwa bahati mbaya sana sikutumia condom. Nilifanya nae round moja tu, na sababu kubwa ilikua ni harufu mbaya ambayo yule mwanamke alikua anatoa ukeni, harufu hii ilisikika zaidi baada ya ku-ejaculate, aisee ilitoka harufu moja mbaya sana, kama ya samaki ambazo zimeoza na kuharibu kabisa hali ya hewa ya room.
Hamu zilikata, na nikaenda kuoga kwa kujisafisha mwili mzima na sabuni nilijipaka povu jingi sana na nikasafisha pia uume kwa sabuni ya kutosha. Baada ya pale yule mwanamke ilibidi aondoke pia, nahisi na yeye alijishtukia.
Sasa unajua hii hali ya uke kunuka uvundo ni ugonjwa ambao unawaathiri wanawake sana na unaweza kuwa transmitted kutoka kwa mwanamke mmoja hadi mwingine kupitia mwanaume. Nikajitahidi kunywa dawa baada ya hili tukio, na kama baada ya siku 3 hivi mpenzi wangu akaja huku niliko, kama kawaida nikashiriki nae tendo. Siku ya kwanza na ya pili fresh, siku ya tatu nimepiga ile nimekojoa aisee nikasikia ile harufu kama nilkiyoisikia kwa yule mchepuko......!
Mpenzi wangu alikua anatoa harufu kama ile ile ya kwa mchepuko, na yeye mwenyewe akaisikia na alijisikia vibaya sana, she did not know kuwa mimi ndo nimemletea ile harufu, kwa sababu hajawahi kuwa na hili tatizo for over 3 yrs ambazo nimekua nae. I felt so bad kwa kweli kwa sababu nilijua mimi ndo chanzo
Basi, akawa down sana sasa ikabidi nimpe moyo, na tukaenda nae hospitali ilibidi nimsapoti full, akapewa matibabu na daktari alishauri pia na mimi nitumie dawa, nikatumia. Bahati nzuri tulipima na HIV pia, na wote tulikua salama.
Hata suala la tendo ilibidi tustop kwanza tukiwa kwenye matibabu, baada kama ya matibabu tukakutana tena kimwili, nashukuru Mungu kwa kweli this time hakua na harufu yoyote, na akawa amepona kabisa. Hadi sasa wote tuko vizuri, game zinapigwa vizuri na hakuna harufu.
Bado nipo nae hapa Dar kwani kazini kwao wanafanyia kazi nyumbani kwa sasa kutokana na Corona, hivyo amekuja Dar na ataendelea kuwepo hapa hadi hali ikitulia.
Nilijilaumu sana na nikajiapiza kwamba sitarudia tena ujinga wa kuchepuka tena kavukavu hadi kumuweka katika risk binti wa watu.
Ndugu zangu, michepuko sio dili, tubaki njia kuu kwani kuchepuka kuna madhara mengi sana kuliko faida. Ikiwemo kama ambayo mimi nilipata ya kusambaza ugonjwa kwa mpenzi wangu bila sababu ya msingi.
Ni hayo tu wakuu.
#Michepukosiodili
#Bakinjiakuu