Nilivyomuambukiza mchumba wangu gonjwa la zinaa, funzo kubwa la madhara ya kukosa uaminifu

Asante Mkuu,nami nitaacha kuchepuka maana nampenda Sana mke wangu,kimodo wangu,chembamba wangu.Naomba MUNGU anisaidie kuacha dhambi hii mbaya na chafu.
 
Mtoto wa Rock City kaja 😁
Kumbe ulipata papuchi za kuchakata chap chap
Hahahahahaha...!! Kaja bwana, asante corona hiyo. Mambo ya working from home, now najisevia tu. Ishukuriwe corona.
Niliishia kupata majanga tu shemela, hizi papuchi za kuokota balaa sana. Nilikutana na mashine inatoa harufu kama samaki zilizochina. Hatari sana!
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Kisu cha mfupa hiki
Amepiga kwenye ukweli.... Ila seriously, this time i will try my best aisee. Sitaki tena kuchepuka.
 
Shemela naona umepiga bonge la U-turn
 
Sasa ndugu yangu unatuchanganya mashabiki wako....

Hapo katikati unasema hutachepuka tena bila kinga....

Mwisho unatuambia tusichepuke na wewe hutachepuka....

Tushike lipi sasa?
Anamaanisha tunaweza kutembea na Chupi kichwan kama Morrison bt tuwe makini na tff
 
Nimeyakoroga uku kama ww mkuu dawa gani zilimuweka shem poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…