Nilivyonasa kwenye mtego wa simu za mkopo

Mwenye machine ya Samsung Galaxy AO5 isiyo na kipengele ani-PM.

Tafadhali siyo simu ni Machine.
 
So kumbe hata Mimi mwenye simu ya mkopo naweza itupa kisha nikawaambia imeibiwa? Nataka niachane na simu hii ya mkopo ninunue simu yangu hata ya laki na 20 maana hii naona niliingia chaka
Ukichukua simu ya mkopo halafu upige mahesabu vizuri utajipiga piga kifuani halafu unasema taratibu mimi mjinga.
 
Cheap is expensive...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…