Unlock tool unaipataje mkuu maana mimi sifanyi malipo kwa njia ya app natumia air tel money kawaidaSecurity plug ni ile app inayokufanya ufanye malipo kwenye simu yako ya mkopo yaani aiwezi kufutika ila ukiwa na unlock tool unaweza kutoa security plug
SijakuelewaUnadili mpaka line.
DuuhNa nimekopa bajaji ya million kumi narudisha million 22 cash na hakuna kurudi nyuma.
Uki unlock simu labda unadili line ndio hawakupati,ukiendelea nayo utadakwa tu.Sijakuelewa
wewe ndo mtu sasa.leta somooSecurity plug yake ni easybuy au nuovo? Kama unaweza mambo yasiwe mengi toa izo security plug uendelee kutumia simu bila malipo
Sio kweli mkuu nani akukamate sasaUki unlock simu labda unadili line ndio hawakupati,ukiendelea nayo utadakwa tu.
Tumieni hizi APK kwenye pc zenu mtoe hizo security plugwewe ndo mtu sasa.leta somoo
Mkuu muon̈goz zaidTumieni hizi APK kwenye pc zenu mtoe hizo security plug
Cha kwanza download file la simu unalotaka kutoa security plug
Pitia hapa
FirmwareX.Net - Free downloads firmware for phones and tablets
Find any firmware, published by FirmwareX.Net. It's easy to find the firmware for your phone. Free downloads firmware for phones and tablets.firmwarex.net
Hatua ya pili ingia hapa chukua hii ikikushinda lipia unlock tool au tafuta iliyo cracked
KumekuchaSecurity plug yake ni easybuy au nuovo? Kama unaweza mambo yasiwe mengi toa izo security plug uendelee kutumia simu bila malipo
Mbona bado jioniKumekucha
Unatumia aina Gani ya simu? Tuanze darasaMkuu muon̈goz zaid
Huo siyo uislam sheikhwewe ndo mtu sasa.leta somoo
Hii sio haki...wengi huwa tunazitazama simu za mkopo kama laana but in the other language ni ukuaji wa technolojia ambao kila MTU anatamani auonje kabla hajafa so due to that wafanyabiashara nao wakaiona fursa.Ng'ombe hamuishagi
Umeiona ugumu gani kuchukua simu ya bei uliyo nayo cash.Nilikuwa na 220’000
Watu Kama nyie Tunawahitaji sana kwenye Jamii ili tuweze kupata hela ya kutunza familia zetu.Baada ya simu yangu ya tecno kuharibika sikuona haja ya kupoteza hela kuipeleka kwa fundi kwa sababu nilikuwa nimeitumia kwa miaka mitatu hivyo nikaona ni bora tu nikatafute simu nyingine mpya ya kutumia. Tarehe 2/2 nikaamua kwenda town kununua simu ila niliplan safari hii ninunue Samsung maana sikuwahi kuitumia kabla. Nilipofika town nikaenda kwenye duka moja la simu nikaulizia bei ya Samsung nikaambiwa 680,000 ila hela yangu ikawa haitoshi ndipo jamaa ambaye ni muuzaji akanishawishi kama vp kuna Samsung pia za mkopo hivyo kama sitojali naweza tu kuchukua halafu niwe nalipa kidogokidogo. Basi mi sikujali kwa sababu aliniambia kianzio cha mkopo ni 80,000 halafu hiyo iliyobakia nitakuwa nailipa mdogo mdogo hadi mda wa mkopo wangu utakapoisha. Akanipa Samsung Ao5 nikalipa kianzio halafu akanipa namba ya kampuni ambayo nitakuwa nalipia hela iliyobakia, kama ni kwa wiki, siku au mwezi. Kwa siku2260 au kwa wiki 15821. Sasa kitu ambacho mimi sikukigundua wala kuuliza ni kiasi cha riba kwenye hizi simu za mkopo kwa sababu wiki mbili baadae jamaangu mmoja nae alienda kununua simu kama hii ya kwangu lakini yeye haikuwa ya mkopo alilipa cash. Sasa kitu kilichonishtua ni bei jamaangu aliyonunulia, yeye aliuziwa 240’000 na mimi niliambiwa ni 411’000 nilipe kidogokidogo kwa miezi 6. Kilichonishtua ni bei halisi ya simu kwa cash na mkopo. Yaani 240’000 cash na mkopo 411’000 ikiwa ni ongezeko la 170’000 yaani riba ya mkopo ni robo tatu ya bei ya simu. Duh kweli vitu vya mkopo kwangu basi nilinasa kwenye mtego na sitorudia tena hakika huu ni wizi na utapeli wa waziwazi.