Nilivyonasa kwenye mtego wa simu za mkopo

Acha uongo huwezi kuwa milionea kiwango Cha dollar ukaendesha second hand cars huko ni kujifariji kwako tu
 
sema mjomba jela hii🀣🀣
 
Mkuu unafanyia kampuni gan? Mimi nafanya na WATU CREDIT TZ. Nakopesha simu usiku na mchana.

Mpaka Samsung A56 tayar ipo kwenye mkopo.
 
MKuu karibu kwenye ulimwengu wa technolojia.

Mim nakopesha hizo A05 kwa 50k tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…