Sawa mimi mwongo najifariji. Research nazo zinadanganya.Acha uongo huwezi kuwa milionea kiwango Cha dollar ukaendesha second hand cars huko ni kujifariji kwako tu
Mkuu mbona mkopo wa simu ni soft loan tuu ya kawaida.. Hatunyongi sana, sahivi ukiwa na 50k tuu unajipatia Samsung Galaxy A05 safii kabisa unakula maisha.S
Mnaua bendi wakuu muwe mnaangalia hali ya uchumi ya watu. Hata kama mnawasaidia kwa kuwakopesha msinyonge kiasi hicho
Piga ua huwezi kuvaa viatu au nguo za mikopo ata mitumbaBinafsi ninakauli mbiu kwa mahitaji yangu asilimia 95.... if I can't buy it in cash I can't afford it.
Naheshimu mawazo ya wanaonunua hivi vitu kwa mkopo.
Simu siwezi nunua kwa mkopo.
Gari siwezi kununua kwa mkopo.
Furniture siwezi nunua kwa mkopo.
Kama nahitaji kununua gari nitasubiri mtu afulie aniuzie gari. Siwezi kwenda bank nikachukua mkopo wa kununua gari, simu, furniture, kujenga nyumba n.k
Zaidi ya asilimia 70 ya mamilionea duniani wanaendesha second hand cars.
Tatizo siyo kianzio mkuu ishu ni riba kubwa mnoMkuu mbona mkopo wa simu ni soft loan tuu ya kawaida.. Hatunyongi sana, sahivi ukiwa na 50k tuu unajipatia Samsung Galaxy A05 safii kabisa unakula maisha.
Kuna watu wanavaa. Hii ndiyo Michezo ya Ulaya, South Africa sijajua Marekani.Piga ua huwezi kuvaa viatu au nguo za mikopo ata mitumba
Chapter inaitwa: You aren’t what you drive page 109Sawa mimi mwongo najifariji. Research nazo zinadanganya.
Dr Thomas Stanley ulishawqhi kumskia! ashafanya research....tafuta kitabu kinaitwa The millionaire next door.
Makato Sasa Hadi mtu amalize mkopoMkuu mbona mkopo wa simu ni soft loan tuu ya kawaida.. Hatunyongi sana, sahivi ukiwa na 50k tuu unajipatia Samsung Galaxy A05 safii kabisa unakula maisha.
Kama unakumbuka jina la huyo member naomba umtag mkuu.Chapter inaitwa: You aren’t what you drive page 109
Sema mzee una roho mbaya/ajabu/katili sana,!Umelikoroga kwa kupenda, LINYWE sasa. Unataka vikubwa uwezo huna. IPO siku utaliwa jicho kwa kupenda PIZZA ya 20,000
hyo aya sio mimiDuh!!
Ila ukiwa umeshiba ndo hairuhusiwi?
Mbingun wataingia wachache sana
Kuna somo kubwa, Bora kununua used cash kuliko kupew kipya kw mkopoKuna watu wanavaa. Hii ndiyo Michezo ya Ulaya, South Africa sijajua Marekani.
Stores nyingi za simu, vifaa vya matumizi ya nyumbani, magari, nguo wanatoa vitu kwa mikopo. Unajikuta unanunua sofa set ya milioni 2 kwa mkopo unalipa milioni 4 au 5.
Kuna jamaa amemaliza mkopo lakini kitu inasoma deni upya. Watu credit ni watu kweliHapo ndo nilipokosea mkuu sikupata wazo kabisa la kuuliza. Ni kweli kampuni ni watu crédit tz
Ni kweli kabisa.Kuna somo kubwa, Bora kununua used cash kuliko kupew kipya kw mkopo
Wewe utakua ni agent. Mimi siyo agent, nafikiri kampuni zote model inafanana kwamba lazima kiwepo kitengo cha malipo.Mkuu unafanyia kampuni gan? Mimi nafanya na WATU CREDIT TZ. Nakopesha simu usiku na mchana.
Mpaka Samsung A56 tayar ipo kwenye mkopo.
Kama ana uhakika amemaliza kwanini harudi alipochukua simu akawaelezea na kuwaonyesha miamala ya malipo?Kuna jamaa amemaliza mkopo lakini kitu inasoma deni upya. Watu credit ni watu kweli
Aende sehemu alikochukulia simu au awapigie maana wakati unalipa list ya miamala uliyokuwa unafanya wakati wa kulipa déni inabaki kwenye app yao ya watu tzKuna jamaa amemaliza mkopo lakini kitu inasoma deni upya. Watu credit ni watu kweli
Sasa hivi umeachana na Easybuy?Wewe utakua ni agent. Mimi siyo agent, nafikiri kampuni zote model inafanana kwamba lazima kiwepo kitengo cha malipo.
Mimi nilikua upande wa malipo kampuni inaitwa Easybuy. Ni ya kwanza kabla ya watu simu au Laina au hawa wa juzi juzi sasa hivi hawasajili tena