Nilivyonasa kwenye mtego wa simu za mkopo

Haya mambo ya unachukua kitu unalipa kidogo kidogo kwa nchi za wenzetu yamekuepo muda mkubwa mno.

Ni bongo yamesambaa hivi karibuni ila naweza sema uelewa wa mkopo na vitu kama finance literacy vinafanya watu waone utapeli.
 
Hyo ndio maana halisi ya MKOPO mkuu,,hata serikali Yako ya CCM nayo inakopeshwa pesa kdg ribaa mlimaa na wazunguuu ety na walaa hawalalamikiii...
walalamike wanalipa wao?
 
kampuni gani nzuri nataka samsung s24 ultra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…