Nilivyonasa kwenye mtego wa simu za mkopo

Hizi asilimia umetoa wapi?
 
Mkuu niidonload kwenye sim au kwenye PC kwanza?
Mkuu niidonload kwanza kwenye sim au kwenye PC?
 
Kianzio sikinakuwa ndani ya bei mkuu. Kwa mfano simu bei 500000 ukitoa kianzio 80000 sikinajumuishwa kwenye bei ina maana hapo mkopo wako unakuwa 420,000
Hapana mkuu. Kianzio sio sehem mkopo uliobaki.
 
Kianzio sikinakuwa ndani ya bei mkuu. Kwa mfano simu bei 500000 ukitoa kianzio 80000 sikinajumuishwa kwenye bei ina maana hapo mkopo wako unakuwa 420,000
Hapana mkuu. Kianzio sio sehem mkopo uliobaki.
Mkuu pengine hujamwelewa mkuu ama mimi ndiyo sijaelewa.

Yaani ukiambiwa simu hii kwa mkopo ni laki 5, kianzio ni shilingi elfu 50 maana yake deni itakuwa ni laki 4 na elfu 50? Kwa uelewa wangu jibu ni ndiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…