Nilivyonasa kwenye mtego wa simu za mkopo

Ujinga huwa niwakati wa kwenda tu, wakati wakurudi hutapotea tena 😂😂😂😂. pole sana.
 
Hukuripoti kwao baada ya kuibiwa
Nilireport wakaniambia nitafute Los Report na nikafanya hivyo.
Wakaniambia niendelee kulipia watanipa simu nyingine, nikasema mtanipa lini? Wakasema wewe lipa lipa tukiona una mwenendo mzuri tutakuwa simu nyingine.
Nikasema tuandikiane halafu mniambie ni lini hasa mtanipa simu nyingine. Hapo ndio tulishindwa kuelewana. Nikaamua kupotezea tu.
 
Nikiibiwa simu mnanipa simu nyingine?

Ile ya zamani inakuaje ?

Bado mtu akiflash ataweza kuitumia?
 
Unatuchanganya...simu ni 680000 au 280000?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…