Nilivyonaswa na Shangingi wakati natafuta ghetto

Inaonyesha unapenda kujiproud sana bila shaka utakuwa mhaya
 
Umelipia tangazo
 
Mara ya mwisho kucheki HIV lini mkuu.

Mwezi wa saba mwaka huu mzee! Ila kwa kweli namshukuru Mungu ameniepushia janga hiio kuna wakati nilikuwa naogopa kwenda kupima Ila baada ya kugundua niko salama niliamua kujilinda na kupunguza ujinga ule kwa kweli
 
Sasa mbona leo umeweka thread ukilalamika kuwa umpweke mpaka unatamani kulia??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…