Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

UMUGHAKA. Hapa kwenye ukarimu ni kweli 100% nakumbuka miaka ya 88 au 89 kuna sehemu tarime ndani ndani uku kuna kazi tulifanya na wakati mwingine ilikua mnatembe umbali mrefu sana ili kurudi town.

Kuna miji ulikua ukipita unakuta kuna chungu katika ya mji na hicho chungu kina kinywaji (kirungu) sijui ndo kinaitwa hiyo kwa ajili ya wapita njia na mtu yeyote atakaye pita hapo.

So Tulikua tukitembea na kuchoka tunaingia kwenye mji wowote na kuwasalimia then tunapewa kinywaji na kama mda wa kula mnakula kabisa ndo mnaendelea na mwendo.

Sijui kama bado wanafanya hivyo siku hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…