Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Mugango ulipitia wapi mkuu au ulitokea musoma mjini,kiriba,bwai au parisi
Nilifika Mwanza halafu baada ya siku chache nikaunganisha Musoma vijijini mpaka hapo Kijiji Cha Mugango, Nitarudi Tena Mugango aisee, watu wa pale ni wakarimu Sana aisee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hapo nyasura karibia na almasanta kwa kango lugola 😅😅😅
 
Kutoka kusimamia mtumbwi hadi kuwa mvuvi[emoji28][emoji28][emoji2297]
Mashemeji wanafiki sana....[emoji28][emoji28]
 
Mkuu nawasha data tu nakutana story [emoji23]
 
I salute you mkuu siyo kwa sababu story Ni Nzur Bali unajuwa kusimulia na kuandika kitaalamu kbsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…