Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Umekuwa mtu mmoja wa kutufikirisha sana,wengi wetu si wapenzi wa kutafuta vitabu,hakika unatenga muda wako wa kutunga, kuhariri na kutupostia sisi wadau ambao kuna muda hatuna Shukran,post zako zimezingatia Fasihi sahihi kabisa na wengi wetu inatufanya kupelekea lugha ya picha mjongeo akilini mwetu vile sura na mwili kwa ujumla wa Umughaka ulivyo,Gabi sura yake na mwili wake pamoja na wahusika wengine, pia shukran kwa uandishi ulio nyooka hakuna kukosea/kuchapia najua unatenga muda rafiki na muda wa kutosha kwa ajili ya wengi na wachache tusiojua kushukuru.
 
Pole, ila hiyo biashara ya punda hata mie nilishituka nikacheka kidogo [emoji3]
 
Hio gar nsngepanda mmq
 

Upendo wake kwa dada yake ndio ulifanya afiche mapungufu ya shemeji yake....
 

Vitu viwili vya kufikirisha;
1. Siku zote nimekaa pale Sorari sikuwa na demu wala sikuwahi kwenda kulala na demu guest na pale nilopopanga sikuwahi kuleta demu. Inawezekanaje mwanaume kukaa muda wote huo bila kupiga demu?

2. Mwanangu Nyamori aliniambia nishuke hapo Bunda kuna kijiji kuna mgodi unatema sana madini, baada ya kufika huyo huyo Nyamori anamuambia hapa hakuna kitu tunapoteza tu muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…