Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Jamaa alitumia akili kubwa sana kutodai mshahara kutoka kwa shemeji yake. Kupiga kimya kwake juu ya mshahara wake kutaleta matokeo chanya kwa sister wake lakini pia kwake mwenyewe.

Kwa upande wake, hapo amejiwekea akiba, japo amesema huyo shemeji yake ni mtu wa kutojali wengine, lakini naye ni binadamu. UMUGHAKA atakuja kulipwa kwa namna yoyote ile; jasho lake haliwezi kupotea bure!
 
Nyie ndio mna imani za kijinga, eti atakuja kulipwa kwa aina nyingine
 
Ngumu kumeza, twende kazi Umughaka.
 
Ndugu, nimekuambia hii ni akili kubwa; mpaka uwe long sighted person ndio unaweza kuona hili, lakini kama ni short sighted person, hapa utaona maruweruwe!
Ndugu, nimekuambia hii ni akili kubwa; mpaka uwe long sighted person ndio unaweza kuona hili, lakini kama ni short sighted person, hapa utaona maruweruwe!
Wewe utaishia kuwa loser kwa kuogopa kudai chako, ukijifariji eti utakuja kulipwa na mungu...
 
Hizo ndio tunazozipenda sasa, anayekwazika aachane na stori
 
Agha nyinkyo Umughaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…