Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Aisee ulikuwa umeshafika mbali sana 9 mil ni kapesa kazur sana

Yaan mtu una 9 mil bado unawaza kwenda kushirikiana na mtu kufanya biashara.

Mimi huwa siamin katika biashara moja,ni bora kuwa na biashara ndogo ndogo tofauti tofauti kuliko kuwa na libiashara limoja ambalo limeshikilia maisha yako yote,ikitokea ajari ya moto tu unakufa na presha
 
Hongera kwa uhai na pole kwa matatizo yote.

Binafsi nikushukuru kwa story hii nzuri.

Nilichojifunza, hakuna biashara haramu yenye mwisho mzuri, hakuna shortcut ya maisha kikubwa ni uvumilivu na kingine ni kusikiliza zaidi moyo wako. Mtatiro
Ni kama alijiokoa flani kwasababu alipoamua mpotee na milioni 6 zenu ndo ilikua pona yenu. Nimejifunza vingi sana.
 
Ahsante sana kwa story nzur yenye mafunzo mengi tu .yote kwa yote tujifunze kuridhika na kidogo tupatacho..
 
UMUGHAKA


Baada ya kudhurumiwa zile pesa na ndugu yangu kiasi cha 9 mil,niliamua kurudi nyumbani na baba akanisaidia nikapata nafasi katika chuo cha polisi Moshi

Kwasasa mimi ni Pongo nipo Iringa

Jamaa kashindwa kumalizia hivi

Boda apate muda wa kwenda mbeya kutoka dar,unajua umbali uliopo dar-mbeya?
 
Kumbe Ndiomana ulisema ngono si kipaumbele Chako kabisa...una uchungu na rafiki zaidi ya Ndugu yako.
Pole yake sana mtatiro natumae bado yu hai kama alizingatia ushauri wa daktare! Ajali kazini
Mtatiro kwa sasa yuko Uganda
 
Unamaanisha boda boda hawana majukumu mengine yakifamilia, ndugu, jamaa, na marafiki , wenyewe ni kushinda na kulala barabaran??
 
Unacho cha kumzawadia. Mwendee inbobo myajenge [emoji120]
 
Story imeisha vizuri sana hapo baada ya kufhulumiwa ile 9M ndio unarudi kwenye reli kuanza upya na utasonga mbele mzee wa kazi, kikubwa epuka dhulma na utapeli kwenye mishe zako, kwa uzoefu wangu wale wote mliowavamia ni kama mliwaongezea mwendo ukiwaona leo hakuna aliefirisika hata mmoja wengi wao watakua washatajirika zaidi hiyo ni law of nature na ninyi mliochukua pesa zao hakuna aliefanyia cha maana, pesa ina siri ya mizizi ukiipata bila kujua mizizi yake itapotea tu haraka, Hongera [mention]UMUGHAKA [/mention] mafunzo ni mengi
 
Au tunaita gut? Sometimes kwenye matukio unatakiwa kusikiliza gut...
Umughaka anakosa ku listen his gut ndo maana yule dada alimchomesha kwa police 🚓
 
Wewe bwege acha ujuaji. Amekuambia alikwenda na pikipiki? Kwani bodaboda hawezi kuwa na nauli ya kumfikisha Mbeya? Wa hovyo kabisa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…