Nilivyonusurika kutapeliwa mtandaoni

Acha kushare transaction codes mkuu.
 
Vijana hasa wasomi tuache Tamaa za kupata Hela za fasta mana itawacost na kuacha màjeraha makubwa maishani mwenu note that most online business ni harmful na illegal...
 
Mkuu ulieleza kana kwamba wote humu ni wacheza kamari, tena aina hiyo hiyo ulokuwa ukicheza!

Umetumia sana neno 'kuzuia', mpaka nikawa najiuliza ukizuia huyo jamaa upande wa pili (tapeli) anakuwa ni mbumbumbu kiasi gani cha kushindwa kuigundua hila yako?

Pia haukufafanua kwanini hiyo miamala ilikuwa ikiendelea kuingia kwenye account yako kibwege bwege mara 50, mara 80 nk huku wewe ukiwa umezuia, hela zako?

Ama kuna lugha waweza itumia kutuelimisha huo mchezo wa matapeli ulikubebaje wewe huku ikifahamika wazi kabisa kuwa hela ya tapeli hailiwi?
 
Kuna Hawa wanajiita gurudumu hivi wakoje . Naona wamenitapeli kwa mchezo wa kutuma pesa Kisha unaspin gurumu linaangukia kiasi Fulani Kisha baadaya mwezi wanakutumia hiyo pesa . Nimecheza mpaka tshs 400,000/= nikitegemea malipo yasiyopungua milioni 4 Hadi Leo hamna kitu
 

Attachments

  • Screenshot_20250224-204344.png
    297.4 KB · Views: 2
Kuna Hawa wanajiita gurudumu hivi wakoje . Naona wamenitapeli kwa mchezo wa kutuma pesa Kisha unaspin gurumu linaangukia kiasi Fulani Kisha baadaya mwezi wanakutumia hiyo pesa . Nimecheza mpaka tshs 400,000/= nikitegemea malipo yasiyopungua milioni 4 Hadi Leo hamna
 

Attachments

  • Screenshot_20250224-204344.png
    297.4 KB · Views: 2
Hujaelewa kijana halafu muombe akueleweshe wewe sio atueleweshe sote.. usitujumuishe kama haujaelewa sio mambo yako haya.. acha ujuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…