Nilivyotongozwa na msichana Baa

Gundu
 
Mkuu nakukubali sana hujawahi kuniamgusha kwenye stori kama hizi.

Kwahiyo hujapiga tena Mzee?
 
Dada mimi sina pesa na sijawahi kumiliki pesa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapa mwenyewe nasubiria wizzy anipe pesa ya saloon lkn ananikwepa balaa.!!
Labda tumuombe boss Manyanza 🀣
Boss ni Mungu tu.
 
kwaiyo mpaka lini uliendelea kutokujiewa?
Hujahitimisha kuwa yule n demu au alikuwa jini?
 
Mkuu nakukubali sana hujawahi kuniamgusha kwenye stori kama hizi.

Kwahiyo hujapiga tena Mzee?
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Ona na soma simulizi tu, akini Omba yasikukute Mkuu
 
kwaiyo mpaka lini uliendelea kutokujiewa?
Hujahitimisha kuwa yule n demu au alikuwa jini?
TUKIO lilikuwa ni la masaa 48 lakini utadhani ni tukio la wiki mbili au mwezi kabisa yaani Mkuu kuna mengine sio muhimu kuyaandika kikubwa niko poa na nilisha kaa sawa na maisha yanaenda
 
Kuna siku nilimshobokea demu mida ya saa 2 usiku, aisee πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Kumbe alikuwa na jini mahaba akapandisha acha aanze kupiga ukuta kwa kichwa zaidi ya mara 30 mpaka ukuta ukawa unatikisika na vioo vya madirisha vikawa vinakaribia kupasuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…