Nilivyoumbuka kwenye swimming pool

Ila mkuu umenichekesha sana[emoji23][emoji23]

Mbaya zaidi maji ya swimming haya move yaani yako static! Ni heri yangekua yana tembea ingekua rahisi kujiokoa!
 

Kwani kwenye nyara za taifa ulikuwa unaogopa nini kama watu waliona? Au ni kibamia na kulikuwa na wanawake pia hapo swimming pool!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aisee nimecheka saana juu ya huu usimuliaji, yote kwa yote pole yako sana hii inanikumbusha enzi za utotoni tukicheza kimamba mamba mtoni unazamia ata dakika tano sasa kimbembe kilinikuta pumzi imeisha nikasema ngoja nivute kidogo hewa🙄kilichinikuta sasa asalalee nilikunywa maji najikuta hewa haitoki nikakumbuka kuweka vidole ndani ya kinywa na nikatapika uzuri nilikuwa nimetoka kula madafu yalitoka vipande vipande na kisha yalisaidia kusukuma hayo maji yaliyojaa kooni.
 
Yallah mbavu zangu, wenzako wanaanza na maji madogo unatembea ndani ya maji huku unapigapiga maji kwa mikono ili wakuone unajua kuongea baada ya masiku kadhaa utajikuta unaelea mwenyewe [emoji3][emoji3] kwamba ushajua kuogea

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…