Nilivyoumbuka kwenye swimming pool

Kasie nawe ni walewale tu usinicheke!

Halafu nilikuwepo nilikuwa nakucheki kwa pembeni tangu unaanza mbwembwe zako....🀣🀣🀣🀣🀣

Sikutaka ushahidi polisi....

Kama umechoka si bora uwafate wale wenye vispika wa sumu ya panya mende sisimizi kiroboto sumu ya panya...

Dawa ya fangasi upele mapunye sumu ya panya....!!!

Inafundisha kuogelea hiyooo....🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Ukiinywa hata kama hujui kuogelea huzami unaelea tuu...🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
My ribs.....!
 
Daa! 🀣🀣🀣
Yaani nimecheka. Usimuliaji wako tu umenifanya nicheke japo simulizi ni ya kusikitisha.
 
Muuwaji wewe!

Uko wapi sahivi..?
 
Pole me naogopa mno maji mhh maji hapana yaliua rafk zangu watatu kwa nyakati tofauti
 
Babaaaeee hiyo haina mamaaaeee
 
Duuh! Hakika Mungu anakupenda na inakulazimu ukatoe sadaka tu
Maji ya bahari ama swimming ukienda chini mara 3 basi huwezi kuwa hai tena
Majii baridii ya swimming ni hatari zaid kuwa kuliko maji bahari
Shukuru mungu mungu
 
πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ doooh pole sana mkuu
 
[emoji16][emoji16][emoji134], pole ndugu. Ata mimi yalinikuta kiherehere Cha kuogolea kwenye pool ya wakubwa wakati Nilikua dogo. Nilikunywa nguchu za maji na kushiba nilishiba maji aisee. Ila nilikamata watu roba kwenye maji na nikafanikiwa kutoka. Maji haya nayapenda lakini sitaki mazoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…