Nilivyoumbuka kwenye swimming pool

Nimecheka kis...nge
 
Huwa sitaki kiherehere na maji, tena nikikuta mahali nipo mwenyewe naweza nisiingie kabisa. Maji yanaweza kukuua hata kama unajua kuogelea
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣we jamaa nimecheka na usingizi imeisha ngoja nikaoge zangu, pole sana Kwa maswaibu
 
Siri kubwa ya kujifunza kuogelea ni kuanza kujifunza ku float ( kuelea kwenye maji ) kabla hujasogea kwenye kina kirefu.... hio ndio siri ya kuanza kuogelea.
Nitajifunza mkuu
 
Nakusaidia namna ya kuongeza mbwembwe kwa wazungu kwenye swimming pool πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Geuka nyuma utaniona nimevaa mask 😷 yenye nembo ya TZ.
Bado wavaa barakoa tu nyie ndio mnatuletea mikosi kwenye taifa!
 
Usivamie vamie wanawake.
Au nimeelewa tofautiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahahah pole sana
Ahsante sana
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣we jamaa nimecheka na usingizi imeisha ngoja nikaoge zangu, pole sana Kwa maswaibu
Ahsante sana mkuu
 
Wengine Maji tunayaona Kama kituo cha polisi.
Yalishatukosa kosa kututoa Roho.
Sitaki kukumbuka ili Bali doo!

Alafu ni kweli Maji huwatoaga nishai Visabengo, maji hayahitaji Kiherehere.
Maji hayana mjuvi.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] kiberenge umepiga mbizi mpaka umeshindwa kujua ipi ni mikono na ipi ni miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…