Nilivyoumbuka kwenye swimming pool

Wengine tunavyopenda kupiga mbizi, maji mazuri sana huwa sijutii ila tulishawahi kupoteza marafiki kwenye maji, furaha ya likizo inageuka msiba.
 
Bora kwenye swimming ndugu yangu ukiokolewa beach utazalilika mara dufu maana unachapwa hadi fimbo😁
 
Pole sana!
Lakini inabidi nicheke tu walahi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Pole sana, hujauliza nani aliyekufanyia CPR ya Mouth to Mouth...

Kwa nini ukae uchi, ina maana ulivaa over size...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…