Nilivyoumbuka kwenye swimming pool

Nimecheka kwa sauti sana. Nakumbuka 2015 kuna jamaa alikuja kuogelea UDSM .. baada ya kuona watoto wa UDBS akajifanya diver.. tukamuokoa tumbo limekuwa Kama mbutalikasi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
🤣Mbutalikasi ndo nn mkuu?
 
Hamna siku nimecheka humu jamvini kama leo umenichekesha sana Mkuu mno mpaka nimeonakana kama kituko. Pole sana aisee mie sitaki mazoeza na maji yaliwahi kunitoa nishai pale Wet na Wild sijui mnapaita, enzi hizo sitasahau tangu siku hiyo sina mazoea na maji kabisa hata ya ndoo naoga haraka naondoka. Mwenye sikio asikie kupitia mkasa huu.
 
We na [mention]Alexander The Great [/mention] ni kitu kimoja[emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haha! Pole nawe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…