Itoshe kusema Afrika mashariki mliongoza group za CHAN ni kwa bahati na kimaajabu tu, leo hii mumeona kilichotokea.
Wengine wakasema sijui Afrika mashariki mnatimu imara kwa wachezaji wa ndani,
Wengine mkasema ni home advantage
Wengine mkasema soka la Afrika mashariki linakua,.
Haya kiko wapi?
Soma pia:
Nimejaribu kuwaza na kuwazua bado nimeshindwa kupata majibu kabisa, Tuseme ndio mcheza kwao, Au ni vile timu walizonazo vigogo ni wachezaji ambao hawawatumii mara kwa mara katika mashindano au ni soka la ukanda wetu linakuwa au nini hasa? Maana imekuwa ni maajabu Tanzania aongoze kundi lenye...