Niliwaambia kumfunga Algeria haiwezekani

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,379
Nilikua siamini na nilichotarajia ni sare tu kwa kua tunataka sifa tu sio kushinda mchezo tumeshukuru kwa sare ila bao la samata linazidi kumsafishia njia ya kwenda kua top wa mabao wa lile ya ufaransa
Hongera samata
 
Mie napinga na wewe muu eden kimario ,
kumfunga Algeria tunaweza na ndio maana na sisi
tume mbugiza hizo bao 2.

Sema ungenambia kuwa ulisema kuwa Taifa Stars
haiwezi kulinda lango lake lisitikiswe kwa goli la
mpinzani wake , hapo ningekuelewa.

Wajua hii timu ikiwaga inacheza yaani shabiki unakuwa roho
juu juu tu kwa sababu huwa hatuwezi kulinda lango letu lisilete
kasheshe....
 
Last edited by a moderator:
Na wakirudiana stars wanafungwa vizuri tu si rahisi kwa stars kumfunga Algeria
 
Kuna watu sijui mkoje. Inaelekea hata baba zenu wakitaka kugombana na jirani zenu huwa mnashangilia majirani zenu wawapige baba zenu... No uzalendo, no pride ya kuwa Mtanzania. Wanasema nyumbani ni nyumbani hata ikiwa ni pangoni,vile vile nchi yako lazima iwe namba 1. Acheni ujinga wa kushangilia nchi za wengine sababu mkikutana nao watawashangaa na kuonekana wajinga
 
sio mimi kama mchungaji nimeshangilia tu, kwa mizani ya kimataifa, cc tumeshinda na wao wamepoteza points kwa kutanguliwa kuchapwa bao 2-0 na tz. algeria walikua na mfungaj bora wa ligi kuu ya uingereza,yule wa t.spurs,na wengi tu.
 
Wamuite JECHA aje kufuta matokeo. Mapumbavu yanafikiri uweza kuiba kura kila mahali.

Nimefurahi sana!
 
Kocha ametuumiza sana, ilibidi sab ya kukaba na si kushambulia koz ushambuliaji ulikuwa fiti. Ila kuna watu yaani usiongee juu ya kumkosoa ngasa alichokifanya akiwa na ndemla,
 
Kuna watu sijui mkoje. Inaelekea hata baba zenu wakitaka kugombana na jirani zenu huwa mnashangilia majirani zenu wawapige baba zenu... No uzalendo, no pride ya kuwa Mtanzania. Wanasema nyumbani ni nyumbani hata ikiwa ni pangoni,vile vile nchi yako lazima iwe namba 1. Acheni ujinga wa kushangilia nchi za wengine sababu mkikutana nao watawashangaa na kuonekana wajinga
Umesoma ukweli sijui watanzania wengine wakoje yaani wana maoni hasi tu kwa nchi yao. Ndo maana hata sense ya kujiamini hakuna.
 
Mabadiliko aliyofanya Mkwasa yalikuwa hyana ulazima. Time ilikuwa na uwezo mkubwa Ila ulinzi ulitakiwe ihimarishwe tu
 
Timu imeonyesha mabadiliko makubwa sana tatizo ni kukosa mbinu za namna ya kulinda goli, pili mabadiliko yaliyofanywa ilichukua muda wachezaji walioingia kuwa katika form
 
Mie napinga na wewe muu eden kimario ,
kumfunga Algeria tunaweza na ndio maana na sisi
tume mbugiza hizo bao 2.

Sema ungenambia kuwa ulisema kuwa Taifa Stars
haiwezi kulinda lango lake lisitikiswe kwa goli la
mpinzani wake , hapo ningekuelewa.

Wajua hii timu ikiwaga inacheza yaani shabiki unakuwa roho
juu juu tu kwa sababu huwa hatuwezi kulinda lango letu lisilete
kasheshe....

Sasa kama huwezi kulinda lango si kufungwa ni lazima tu nilitabiri angalao sare wangeshinda ningeshangaa sana
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu sijui mkoje. Inaelekea hata baba zenu wakitaka kugombana na jirani zenu huwa mnashangilia majirani zenu wawapige baba zenu... No uzalendo, no pride ya kuwa Mtanzania. Wanasema nyumbani ni nyumbani hata ikiwa ni pangoni,vile vile nchi yako lazima iwe namba 1. Acheni ujinga wa kushangilia nchi za wengine sababu mkikutana nao watawashangaa na kuonekana wajinga

kaka wenzako wanacheza soka la kimataifa sisi tunacheza soka la kisiasa so waache watu washangilie wapendavyo mpaka siku tutakapo pata akili ya kutenganisha ivi vitu
 
Kuna watu sijui mkoje. Inaelekea hata baba zenu wakitaka kugombana na jirani zenu huwa mnashangilia majirani zenu wawapige baba zenu... No uzalendo, no pride ya kuwa Mtanzania. Wanasema nyumbani ni nyumbani hata ikiwa ni pangoni,vile vile nchi yako lazima iwe namba 1. Acheni ujinga wa kushangilia nchi za wengine sababu mkikutana nao watawashangaa na kuonekana wajinga

Hamna we mwenyewe unajua sisi ni kichwa cha mwendawazimu
 
Back
Top Bottom