eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Nilikua siamini na nilichotarajia ni sare tu kwa kua tunataka sifa tu sio kushinda mchezo tumeshukuru kwa sare ila bao la samata linazidi kumsafishia njia ya kwenda kua top wa mabao wa lile ya ufaransa
Hongera samata
Na wakirudiana stars wanafungwa vizuri tu si rahisi kwa stars kumfunga Algeria
Wamuite JECHA aje kufuta matokeo. Mapumbavu yanafikiri uweza kuiba kura kila mahali.
Nimefurahi sana!
Umesoma ukweli sijui watanzania wengine wakoje yaani wana maoni hasi tu kwa nchi yao. Ndo maana hata sense ya kujiamini hakuna.Kuna watu sijui mkoje. Inaelekea hata baba zenu wakitaka kugombana na jirani zenu huwa mnashangilia majirani zenu wawapige baba zenu... No uzalendo, no pride ya kuwa Mtanzania. Wanasema nyumbani ni nyumbani hata ikiwa ni pangoni,vile vile nchi yako lazima iwe namba 1. Acheni ujinga wa kushangilia nchi za wengine sababu mkikutana nao watawashangaa na kuonekana wajinga
Mie napinga na wewe muu eden kimario ,
kumfunga Algeria tunaweza na ndio maana na sisi
tume mbugiza hizo bao 2.
Sema ungenambia kuwa ulisema kuwa Taifa Stars
haiwezi kulinda lango lake lisitikiswe kwa goli la
mpinzani wake , hapo ningekuelewa.
Wajua hii timu ikiwaga inacheza yaani shabiki unakuwa roho
juu juu tu kwa sababu huwa hatuwezi kulinda lango letu lisilete
kasheshe....
Na wakirudiana stars wanafungwa vizuri tu si rahisi kwa stars kumfunga Algeria
Kuna watu sijui mkoje. Inaelekea hata baba zenu wakitaka kugombana na jirani zenu huwa mnashangilia majirani zenu wawapige baba zenu... No uzalendo, no pride ya kuwa Mtanzania. Wanasema nyumbani ni nyumbani hata ikiwa ni pangoni,vile vile nchi yako lazima iwe namba 1. Acheni ujinga wa kushangilia nchi za wengine sababu mkikutana nao watawashangaa na kuonekana wajinga