eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
- Thread starter
-
- #41
Sasa ndo nini hii?
Akisoma Mustafa Ali, Nadir Haroub, Kelvin Yondani, Farid Mussa, Juma Hajj, Samatta, Ulimwengu, Maguri, Himid mao, Yahya, Kapombe, Ndemla, Ngassa, na wengine walio stars watajisikiaje??
Watanzania sisi wenyewe ndo wachawi wa sisi wenyewe!
Les Brown hakukosea aliposema; IF THERE IS NO ENEMIES WITHIN, ENEMIES OUTSIDE CAN DO YOU NO HARM.
Watanzania wengi wana enemies within!
Hivi ktk mechi dhidi ya Nigeria, Malawi na Algeria ni siasa gani ilikuwapo?kaka wenzako wanacheza soka la kimataifa sisi tunacheza soka la kisiasa so waache watu washangilie wapendavyo mpaka siku tutakapo pata akili ya kutenganisha ivi vitu
Nilikua siamini na nilichotarajia ni sare tu kwa kua tunataka sifa tu sio kushinda mchezo tumeshukuru kwa sare ila bao la samata linazidi kumsafishia njia ya kwenda kua top wa mabao wa lile ya ufaransa
Hongera samata
Wachawi wanajulikana we unatuita sisi wachawi
Una hoja za kitoto sana, na nasikitika kusema mpira HAUUJUI. Umedandia!...punguza stori wewe na uzalendo wako; bentaleb anatoka (spurz) uje kumlinganisha na nani wa Tanzania, Yacine brahimi porto, (japo hakuwepo) umlinganishe na nani wa Tz..
Wacha kujidanganya na uzalendo wako, utakufa kwa presha bure, rilaxxx, Tz hatujafika levo za wenzetu, hata tukiwa wazalendo vipi, hatuwezi kushinda sababu ya uzalendo tu!
Uzalendo haupatikani kirahisi hivi!Sasa ndo nini hii?
Akisoma Mustafa Ali, Nadir Haroub, Kelvin Yondani, Farid Mussa, Juma Hajj, Samatta, Ulimwengu, Maguri, Himid mao, Yahya, Kapombe, Ndemla, Ngassa, na wengine walio stars watajisikiaje??
Watanzania sisi wenyewe ndo wachawi wa sisi wenyewe!
Les Brown hakukosea aliposema; IF THERE IS NO ENEMIES WITHIN, ENEMIES OUTSIDE CAN DO YOU NO HARM.
Watanzania wengi wana enemies within!
Tena mi naongezea mawili iwe seven bila mechi ya marudiano
Wangepigwa hata 10-0 ningefurahi sana, WATANZANIA hatuna uzalendo maana hata uongozi uliopo, umeingia kwa fitna!
Kuna watu sijui mkoje. Inaelekea hata baba zenu wakitaka kugombana na jirani zenu huwa mnashangilia majirani zenu wawapige baba zenu... No uzalendo, no pride ya kuwa Mtanzania. Wanasema nyumbani ni nyumbani hata ikiwa ni pangoni,vile vile nchi yako lazima iwe namba 1. Acheni ujinga wa kushangilia nchi za wengine sababu mkikutana nao watawashangaa na kuonekana wajinga
Una hoja za kitoto sana, na nasikitika kusema mpira HAUUJUI. Umedandia!