Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Wakuu dunia ina mengi sana.Huku kwetu Gongo hutegenezwa kwa malighafi ya muhongo au jina maalfu ni udaga.
Nadhani kila sehemu wanatumia malighafi tofauti tofauti kulingana na upatikanaji wake.
Basi katika kutembea huko na pale na kule nikakutana na mtu wa songea mmakonde alichoniambia kilinishangaza sana moja ya vitu alivyoniambia kuhusu gongo nikuwa .........
Baada ya process yote kukamilika na kuwekwa kwenye madumu basi mwaandaaji hulazimika kuchimba shimo kwa ajiri ya kuifukia ile pombe na kisha humwaga maji ya kutosha juu yake kuzuia joto.
Kwani pombe ile ikipata joto kali hulipuka kama petrol!! Vilevile akasema walevi wote wakienda kunywa vilabuni walikuwa wanaenda na unga ama chakula muhudumu wa pale ili akuhudumie lazima ahakikishe kuwa umekula either uwe na unga upikiwe ama chakula chako ule na ndiposa akuhdumie. Tofauti na hapo huwezi pewa huduma ya kunywa pombe hiyo maana ilikuwa kali sana.
Alisema kuwa ukinywa bila kula inaweza kusababisha kuondoa uhai wako. Pia walevi walikuwa wanafunga kwenye suruali zao (chini kwenye mguu) ili akijisaidia basi mavi yasishuke chapu chini bali yaishie humohuo ndani kwa ndani.
Kwa watu wa songea hii ni habari ni ya kweli au nilipigwa kamba ama chai ya moto sana.Maana nilishangaa sana kupewa maelezo hayo na kuna baadhi nimeshasahau maana ilikuwa mwaka 2011 kama sikosei.